MSAADA: Kupata muwasho, vijipele hatimaye maumivu makali kwenye kuta za uke mpaka kwenye kinena

MSAADA: Kupata muwasho, vijipele hatimaye maumivu makali kwenye kuta za uke mpaka kwenye kinena

Ila hao ni bacteria.tafuta dawa ya fungus na bacteria
Ila sijaumwa k siku nyingi
Kama husex tuseme kweli k haisulubiki na maradhi
Pole Sana najua muwasho wake
Unakuja kinembe na kinatoa damu nyekunduuuu.kuliko wekundu wenyewe.damu yenyewe inajua sehemu ya kukaa
Yes, yaani najikuna hatari.
Muwasho unakuwa mtamu ila mwisho wake ni maumivu makali
 
Habarini Madaktari na wafamasia wa humu Jukwaa la Afya.
Nina changamoto moja imejitokeza ni kama miezi 4 au 5 imepita.

Kwanza nilipata muwasho mkali sana huku ukeni, kisha nikaja ona vipele vidogovidogo vimetokeza.
Ule muwasho nikawa naukuna lakini mwisho wa siku palepale nilipojikuna napata maumivu makali sana.
Yaani muwasho nikijikuna napata maumivu.

Nikienda kukojoa sasa hapo ndipo kasheshe maana ule mkojo ukipita pale kwenye muwasho nahisi kama nachanwa na wembe.

Na sasa hv imefikia hatua mpaka kinembe kinawasha sana, yaani najikuna sana.

Nilikuwa mtumiaji mkubwa wa Condoms hizi za ZANA....je, huenda ndio zimesababisha tatizo?
Ni matokeo ya sherehe za sikukuu ya xmass, pole na wahi hospitali

Jf haichukui nafasi ya daktari!
 
Pole sana,
hiyo ni fungas,


tafuta dawa yoyote ya fangas ya kupaka ndani ya siku mbili au tatu tatizo litakua limeisha ila jitahidi upake walau kwa siku zisizopungua 5 kila baadaa ya kuoga 🐒
Lumumba Kumbe Kuna kozi ya afya.
Mitano Tena.
Mama atosha kuongoza muhula mwingine.
 
Back
Top Bottom