Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maji yoyote,ilimradi tu uwe na hulka ya kufanya hivyo mara kwa mara.Unakuwa saaafi na hupati hata kamuwasho.Halafu usitumie sijui matube unapaka ndo unanyoa HAPANA, tumia tu shaver Hayo makitu yana kemikaliSawa, na maji yanatakiwa ya baridi, moto au uvuguuvugu?
Sawa nitafanya hivo
Daah (samahani sana)mpaka nimedindisha!!Habarini Madaktari na wafamasia wa humu Jukwaa la Afya.
Nina changamoto moja imejitokeza ni kama miezi 4 au 5 imepita.
Kwanza nilipata muwasho mkali sana huku ukeni, kisha nikaja ona vipele vidogovidogo vimetokeza.
Ule muwasho nikawa naukuna lakini mwisho wa siku palepale nilipojikuna napata maumivu makali sana.
Yaani muwasho nikijikuna napata maumivu.
Nikienda kukojoa sasa hapo ndipo kasheshe maana ule mkojo ukipita pale kwenye muwasho nahisi kama nachanwa na wembe.
Na sasa hv imefikia hatua mpaka kinembe kinawasha sana, yaani najikuna sana.
Nilikuwa mtumiaji mkubwa wa Condoms hizi za ZANA....je, huenda ndio zimesababisha tatizo?
Huna lolote tushakijua unachokitaka.Defence ya mwili wako imeyumba so hapo waweza kwenda hospital watakupima na kukupa dawa au kutafuta wajuzi wa tiba asili wakupe herbs na kanuni za ulaji. Ukihitaji mtaalamu wa mitishamba waweza ni pm.
Na utapona ni jambo la kawaida tu usijali juu ya comment za jokers 🃏 na negative people, wanao hukumu wenzao.
Fanya maamuzi Sasa usizembe ili tatizo laweza vuka na kwenda juu kwenye mji wa uzazi likaleta madhara mengi kumbuka usemi huu "ukizembea jipu ... "
Kuna watu hawapo serious na afya zao yaaan mtu badala ya kwenda hospt anakuja jf kuliza kama vile ameshamaliza tiba zote za hospt !Miezi minne hujawahi kwenda hospitali? Unayapenda maungo yako ya siri kweli?
Tafuta dawa ya SONARDEM maduka ya phamasy baada ya siku mbili uje utoe mrejesho hapaHabarini Madaktari na wafamasia wa humu Jukwaa la Afya.
Nina changamoto moja imejitokeza ni kama miezi 4 au 5 imepita.
Kwanza nilipata muwasho mkali sana huku ukeni, kisha nikaja ona vipele vidogovidogo vimetokeza.
Ule muwasho nikawa naukuna lakini mwisho wa siku palepale nilipojikuna napata maumivu makali sana.
Yaani muwasho nikijikuna napata maumivu.
Nikienda kukojoa sasa hapo ndipo kasheshe maana ule mkojo ukipita pale kwenye muwasho nahisi kama nachanwa na wembe.
Na sasa hv imefikia hatua mpaka kinembe kinawasha sana, yaani najikuna sana.
Nilikuwa mtumiaji mkubwa wa Condoms hizi za ZANA....je, huenda ndio zimesababisha tatizo?
Picha mjongeoo ikionesha namna ya ukunajii hahaaaaPicha ingerahisisha zoezi
😹😹Weka picha
Kwa hiyo aweke picha ya kinembe eti!??Weka picha tuone .
Ila hapa utapata ushauri ambao utautumia Kama huduma ya kwanza .
Jaribu kutumia BBE -hii itaondoa muwasho usipake ndani ya UKE unapaka NJE tu .
Pia jaribu kutofanya NGONO 1-3 months maana kuna uwezakono umeambukizwa huo ugonjwa . kwenye kufanya ngono.
Na mwisho fika hosptali baada ya yote .
BBE hata Kwa wanaume wanaowashwa korodani na uume unaweza kupaka .
Akupe umsaidie kumkuna anavitesa vidole tyuu.!! 😹🤣🤣Njoo unlpe nichovye muwa wangu muwa tiba nikichovya tu umepona
Mhmm.!! BBE apake ukeni?Weka picha tuone .
Ila hapa utapata ushauri ambao utautumia Kama huduma ya kwanza .
Jaribu kutumia BBE -hii itaondoa muwasho usipake ndani ya UKE unapaka NJE tu .
Pia jaribu kutofanya NGONO 1-3 months maana kuna uwezakono umeambukizwa huo ugonjwa . kwenye kufanya ngono.
Na mwisho fika hosptali baada ya yote .
BBE hata Kwa wanaume wanaowashwa korodani na uume unaweza kupaka .
Usirahisishe mamba hivyo I see, usikute jamaa alivua soks bila wewe kujuwa kwa maana uwa data zenu zinazima mkiwa mnapelekwa KIBLAAsante sana mkuu Mudawote kwa maelekezo yako.
Kwa haya maelezo yako nimejua wapi pa kuanzia.
Na hapa kwenye bidhaa za Latex nadhani ndio chanzo cha yote.
Pia kumuona Dr ndio jambo jema zaidi.
Asante sana, sana.
Na nashukuru kwa kutumia muda wako katika kunitafutia tiba.
Shukrani 🙏