AmKATRINA
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 882
- 2,044
- Thread starter
- #41
Sawa mkuu.Mmh! Miezi mitano.
Haya nenda Hospitali huko ndo kunasuluhisho la uhakika nikimaanisha vipimo na hata Dr kuona hapo penye ugonjwa tofauti na huku ambako wengi watakujibu kihisia.
Wapo pia Madaktari humu wenye taaluma zao.
Na wapo pia members ambao walipona na wanaendelea kupona kutokana na maelezo ya madaktari wa hapahapa jukwaani.
Sema nini, hospitali ndio suluhisho kuu japo watu wanapona kwa kufuata maelekezo pia.