AmKATRINA
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 882
- 2,044
- Thread starter
- #21
Sawasawa mkuu Dr Luu , nashukuru sana kwa mchango wako kwangu. Sikuwahi kwenda hospitali yoyote na huu ni uzembe ambao niliufanya.Defence ya mwili wako imeyumba so hapo waweza kwenda hospital watakupima na kukupa dawa au kutafuta wajuzi wa tiba asili wakupe herbs na kanuni za ulaji. Ukihitaji mtaalamu wa mitishamba waweza ni pm.
Na utapona ni jambo la kawaida tu usijali juu ya comment za jokers š na negative people, wanao hukumu wenzao.
Fanya maamuzi Sasa usizembe ili tatizo laweza vuka na kwenda juu kwenye mji wa uzazi likaleta madhara mengi kumbuka usemi huu "ukizembea jipu ... "
Humu Jf watoa negatives wapo na hatuwezi kuwazuia maana wako majumbani mwao na simu zao.
Asante sana, nitakutafuta mkuu ili nipate tiba.