MSAADA: Kupata muwasho, vijipele hatimaye maumivu makali kwenye kuta za uke mpaka kwenye kinena

MSAADA: Kupata muwasho, vijipele hatimaye maumivu makali kwenye kuta za uke mpaka kwenye kinena

Ila hao ni bacteria.tafuta dawa ya fungus na bacteria
Ila sijaumwa k siku nyingi
Kama husex tuseme kweli k haisulubiki na maradhi
Pole Sana najua muwasho wake
Unakuja kinembe na kinatoa damu nyekunduuuu.kuliko wekundu wenyewe.damu yenyewe inajua sehemu ya kukaa
 
Habarini Madaktari na wafamasia wa humu Jukwaa la Afya.
Nina changamoto moja imejitokeza ni kama miezi 4 au 5 imepita.

Kwanza nilipata muwasho mkali sana huku ukeni, kisha nikaja ona vipele vidogovidogo vimetokeza.
Ule muwasho nikawa naukuna lakini mwisho wa siku palepale nilipojikuna napata maumivu makali sana.
Yaani muwasho nikijikuna napata maumivu.

Nikienda kukojoa sasa hapo ndipo kasheshe maana ule mkojo ukipita pale kwenye muwasho nahisi kama nachanwa na wembe.

Na sasa hv imefikia hatua mpaka kinembe kinawasha sana, yaani najikuna sana.

Nilikuwa mtumiaji mkubwa wa Condoms hizi za ZANA....je, huenda ndio zimesababisha tatizo?
Daah (samahani sana)mpaka nimedindisha!!

Pole sana mkuu Mungu atakusaidia nenda hospital kabla wahuni hawajaomba picha .
 
Defence ya mwili wako imeyumba so hapo waweza kwenda hospital watakupima na kukupa dawa au kutafuta wajuzi wa tiba asili wakupe herbs na kanuni za ulaji. Ukihitaji mtaalamu wa mitishamba waweza ni pm.
Na utapona ni jambo la kawaida tu usijali juu ya comment za jokers 🃏 na negative people, wanao hukumu wenzao.
Fanya maamuzi Sasa usizembe ili tatizo laweza vuka na kwenda juu kwenye mji wa uzazi likaleta madhara mengi kumbuka usemi huu "ukizembea jipu ... "
Huna lolote tushakijua unachokitaka.
 
Habarini Madaktari na wafamasia wa humu Jukwaa la Afya.
Nina changamoto moja imejitokeza ni kama miezi 4 au 5 imepita.

Kwanza nilipata muwasho mkali sana huku ukeni, kisha nikaja ona vipele vidogovidogo vimetokeza.
Ule muwasho nikawa naukuna lakini mwisho wa siku palepale nilipojikuna napata maumivu makali sana.
Yaani muwasho nikijikuna napata maumivu.

Nikienda kukojoa sasa hapo ndipo kasheshe maana ule mkojo ukipita pale kwenye muwasho nahisi kama nachanwa na wembe.

Na sasa hv imefikia hatua mpaka kinembe kinawasha sana, yaani najikuna sana.

Nilikuwa mtumiaji mkubwa wa Condoms hizi za ZANA....je, huenda ndio zimesababisha tatizo?
Tafuta dawa ya SONARDEM maduka ya phamasy baada ya siku mbili uje utoe mrejesho hapa
 
Weka picha tuone .

Ila hapa utapata ushauri ambao utautumia Kama huduma ya kwanza .

Jaribu kutumia BBE -hii itaondoa muwasho usipake ndani ya UKE unapaka NJE tu .

Pia jaribu kutofanya NGONO 1-3 months maana kuna uwezakono umeambukizwa huo ugonjwa . kwenye kufanya ngono.

Na mwisho fika hosptali baada ya yote .

BBE hata Kwa wanaume wanaowashwa korodani na uume unaweza kupaka .
Kwa hiyo aweke picha ya kinembe eti!??
 
Weka picha tuone .

Ila hapa utapata ushauri ambao utautumia Kama huduma ya kwanza .

Jaribu kutumia BBE -hii itaondoa muwasho usipake ndani ya UKE unapaka NJE tu .

Pia jaribu kutofanya NGONO 1-3 months maana kuna uwezakono umeambukizwa huo ugonjwa . kwenye kufanya ngono.

Na mwisho fika hosptali baada ya yote .

BBE hata Kwa wanaume wanaowashwa korodani na uume unaweza kupaka .
Mhmm.!! BBE apake ukeni?
Nyie mtakuja kusababishia watu matatizo zaidi 😒
 
Asante sana mkuu Mudawote kwa maelekezo yako.
Kwa haya maelezo yako nimejua wapi pa kuanzia.

Na hapa kwenye bidhaa za Latex nadhani ndio chanzo cha yote.
Pia kumuona Dr ndio jambo jema zaidi.

Asante sana, sana.
Na nashukuru kwa kutumia muda wako katika kunitafutia tiba.
Shukrani 🙏
Usirahisishe mamba hivyo I see, usikute jamaa alivua soks bila wewe kujuwa kwa maana uwa data zenu zinazima mkiwa mnapelekwa KIBLA
 
Back
Top Bottom