Jamani wana Jf kuna hatua gani za kufanya ili kupata scholarship,na je ni vigezo gani vinavyozingatiwa haswa.Na mwisho ni chi gani nzuri zaidi kitaaluma kwa upande wa universities ktk Afrika mashariki na kwingineko duniani.Ahsanteni jamani
Hebu pita tovuti ya wizara ya elimu www.moe.go.tz halafu hebu search hapa Jukwaani mana kuna threads nyingi tu zilishawahi kuwekwa hapa kuhusu scholarship.
BEST!