Msaada: Kurudia mtihani wa o level nikiwa nipo chuo

Eazykiddy

New Member
Joined
Sep 13, 2021
Posts
4
Reaction score
0
NDUGU ZANGU naomba nipate uelewa kidogo juu ya jambo langu hili

Nipo chuo mwaka wa pili nasomea Tax managment ila nimepata mdhamini yeye ni Daktari huko USA, kanipa udhamini wa kunisomesha ili nikimaliza diploma niende nje.

Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Chuo huku nikianza kujiandikisha kurudia masomo ya O level ikiwemo PHYSICS, CHEMISTRY NA MATH tu.
 
Maliza kwanza chuo Tax. Kish fanya kurudia mtihani huo wa PCB. .
 
NDUGU ZANGU naomba nipate uelewa kidogo juu ya jambo langu hili

Nipo chuo mwaka wa pili nasomea Tax managment ila nimepata mdhamini yeye ni Daktari huko USA, kanipa udhamini wa kunisomesha ili nikimaliza diploma niende nje.

Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Chuo huku nikianza kujiandikisha kurudia masomo ya O level ikiwemo PHYSICS, CHEMISTRY NA MATH tu.
Hujielewi wala hukielewi unachokitaka maishani mwako
 
NDUGU ZANGU naomba nipate uelewa kidogo juu ya jambo langu hili

Nipo chuo mwaka wa pili nasomea Tax managment ila nimepata mdhamini yeye ni Daktari huko USA, kanipa udhamini wa kunisomesha ili nikimaliza diploma niende nje.

Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Chuo huku nikianza kujiandikisha kurudia masomo ya O level ikiwemo PHYSICS, CHEMISTRY NA MATH tu.
Inawezekana mkuu.

kikubwa upangaji wa ratiba zako tu na uwezo wako binafsi wa upangilianji wa shule zote.

Kila kheri.
 
NDUGU ZANGU naomba nipate uelewa kidogo juu ya jambo langu hili

Nipo chuo mwaka wa pili nasomea Tax managment ila nimepata mdhamini yeye ni Daktari huko USA, kanipa udhamini wa kunisomesha ili nikimaliza diploma niende nje.

Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Chuo huku nikianza kujiandikisha kurudia masomo ya O level ikiwemo PHYSICS, CHEMISTRY NA MATH tu.
Unataka urudie mtihani ili iweje hasa ukizingatia tayari una diploma?
 
NDUGU ZANGU naomba nipate uelewa kidogo juu ya jambo langu hili

Nipo chuo mwaka wa pili nasomea Tax managment ila nimepata mdhamini yeye ni Daktari huko USA, kanipa udhamini wa kunisomesha ili nikimaliza diploma niende nje.

Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Chuo huku nikianza kujiandikisha kurudia masomo ya O level ikiwemo PHYSICS, CHEMISTRY NA MATH tu.
ulaya washatoka huko kwenye lazima usome masomo haya ili uwe yule unaweza soma hata HGK na ukawa daktar vizur tu.
 
Back
Top Bottom