Hujielewi wala hukielewi unachokitaka maishani mwakoNDUGU ZANGU naomba nipate uelewa kidogo juu ya jambo langu hili
Nipo chuo mwaka wa pili nasomea Tax managment ila nimepata mdhamini yeye ni Daktari huko USA, kanipa udhamini wa kunisomesha ili nikimaliza diploma niende nje.
Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Chuo huku nikianza kujiandikisha kurudia masomo ya O level ikiwemo PHYSICS, CHEMISTRY NA MATH tu.
Mtaka yote kwa pupa hukosa yoteMshika mawili moja humponyoka. .
Inawezekana mkuu.NDUGU ZANGU naomba nipate uelewa kidogo juu ya jambo langu hili
Nipo chuo mwaka wa pili nasomea Tax managment ila nimepata mdhamini yeye ni Daktari huko USA, kanipa udhamini wa kunisomesha ili nikimaliza diploma niende nje.
Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Chuo huku nikianza kujiandikisha kurudia masomo ya O level ikiwemo PHYSICS, CHEMISTRY NA MATH tu.
Mtegemea cha ndugu hufa masikini. .Mtaka yote kwa pupa hukosa yote
Unataka urudie mtihani ili iweje hasa ukizingatia tayari una diploma?NDUGU ZANGU naomba nipate uelewa kidogo juu ya jambo langu hili
Nipo chuo mwaka wa pili nasomea Tax managment ila nimepata mdhamini yeye ni Daktari huko USA, kanipa udhamini wa kunisomesha ili nikimaliza diploma niende nje.
Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Chuo huku nikianza kujiandikisha kurudia masomo ya O level ikiwemo PHYSICS, CHEMISTRY NA MATH tu.
ulaya washatoka huko kwenye lazima usome masomo haya ili uwe yule unaweza soma hata HGK na ukawa daktar vizur tu.NDUGU ZANGU naomba nipate uelewa kidogo juu ya jambo langu hili
Nipo chuo mwaka wa pili nasomea Tax managment ila nimepata mdhamini yeye ni Daktari huko USA, kanipa udhamini wa kunisomesha ili nikimaliza diploma niende nje.
Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Chuo huku nikianza kujiandikisha kurudia masomo ya O level ikiwemo PHYSICS, CHEMISTRY NA MATH tu.
Hapo kosa lake ni nini mzee?Huna akili timamu wewe