Msaada kushushwa cheo kwa tuhuma za siasa

Msaada kushushwa cheo kwa tuhuma za siasa

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,304
Reaction score
830
Naombeni kujua hatua yakuchukua punde unapobadilishwa kitengo cha juu na kuhamishiwa cha kawaida sababu zikiwa za kutuhumiwa kujihusisha na siasa bila kuwa na fact.
Mf. Kuondolewa cheo cha uafisa ushirika wilaya na kuwa mkuu wa soko.
Km Mkurugenzi anapokea order tu kutoka kwa wanasiasa na kufanya maamuzi bila ushahidi. Ni halali?
 
Pole mkuu,unaposema kushushwa cheo unajumlisha na mshahara,ila inapokuwa mshahara umebaki vile vile na ukapewa madaraka ya kusimamia soko ni sawa na kupangiwa kazi ingine,hiyo ya pili inaruhusiwa mkuu.

Kwenye kupangiwa majukumu ulipewa majukumu na kuna sehemu inasema kazi zingine ambapo taasisi itaona inafaa hivyo basi hiyo ni shughuli nyingine ambayo ameona inakufaaa.sio afisa soko pia anaweza kukupa utendaji wa kijiji/mtaa.

La pili kuhusu kupokea umbeya wa wanasiasa bila ushaidi je ww ungependa ushaidi upi?kadi au kuteuliwa nafasi ya uenezi nk.

Kimsingi mkurugenzi anapewa maelekezo na chama chenye rais sio chenye mbunge au diwani watu watabisha lakini hivyo vingine viini macho.pia anaweza kupewa taarifa za watumishi wake za wazi au za kisiri,za kiintelejensia au kimazingira na uhalisia.

Sasa jitathimini katika hayo ndo maana mtumishi ana faili la siri ambalo kisheria hapaswi kuliona.
Nawasilisha
 
pole mkuu,unaposema kushushwa cheo unajumlisha na mshahara,ila inapokuwa mshahara umebaki vile vile na ukapewa madaraka ya kusimamia soko ni sawa na kupangiwa kazi ingine,hiyo ya pili inaruhusiwa mkuu.
kwenye kupangiwa majukumu ulipewa majukumu na kuna sehemu inasema kazi zingine ambapo taasisi itaona inafaa hivyo basi hiyo ni shughuli nyingine ambayo ameona inakufaaa.sio afisa soko pia anaweza kukupa utendaji wa kijiji/mtaa
nawasilisha
Mkuu umechanganya POSITION na JOB DESCRIPTION.

Sio kwel kwamba mwajiri anaweza kumshisha mtu cheo wakat wowote kwasababu ni mtumishi wake ispokua anaweza KUMPANDISHA cheo. Kama ni kumshusha cheo kwa sababu za kinidhamu zipo hatua za kiutumishi zilipaswa kuchukuliwa na procedure lazima ifuatwe, sio kubambikizwa tu.

Jamaa hajafanyiwa fair. Kama amepania namshauri akafungue shauri CMA kama anafkiri kwa kazi yake hyo mpya kuna maslahi yake yameingiliwa. CMA watamuita mwajiri wako (atawakilishwa na afisa mkuu wa utumishi) ataeleza tatizo la kinidhamu ulilofanya na atareview procedure na kucheck compliance. Kesi za design hii mwajiri sio rahis kushinda. Utarudishwa kwenye nafas yako na kuoewa haki zako zote ulizokua umenyimwa.

Ukitembelea CMA watakushauri zaidi namna ya kufungua shauri.

Waajiri sasa wamepagawa.
 
kupangiwa kusimamia s

kupangiwa kusimamia soko ni kushushwa cheo?mfano ww ni mkurugenzi unapata scale llsq,ukapangiwa kazi nyingine ukawa msimamizi wa usafi bila kushushwa mshaharayaani unalipwa scale llsq je hapo umeshushwa cheo au umebadilishiwa majukumu?

Ninavyofahamu unaweza ukawa mkuu wa idara (scale lls) wakaona haufai na kukufukuza au kukushusha cheo au kukustafisha kwa maslahi ya uma au kukuhamisha utapeleka tabia hiyo sehemu nyingine au kuna hasara watapata hasa ya kesi na ikiwezekana ukashinda kesi au vinginevyo kwa maana ya kushusha mshahara ni mlolongo wa kesi ambao unaweza ukawashinda kirahisi na wanahitaji kukuchunguza zaidi lakini usilete madhara wakati wa uchunguzi ukiendelea

Basi yanatokea hayo ya kupangiwa kuwa mkuu wa soko,afisa mtendaji nk ila mshahara umebaki hivyo hivyo.

Nimeshuhudia kwa watu 27. na kati ya hao 11 wamerudishwa position zao,wengine wamekufa kabla ya kurudi position na wengine waliomba kwenda shule wengine wakapata fursa huko vijijin wakawa matajir wakubwa wengine kuchukua likizo bila malipo nk.

Na hayo nimeyashuhudia sio awamu hii tu,awamu hii nimeshuhudia wawili tu.
 
kupangiwa kusimamia s

kupangiwa kusimamia soko ni kushushwa cheo?mfano ww ni mkurugenzi unapata scale llsq,ukapangiwa kazi nyingine ukawa msimamizi wa usafi bila kushushwa mshaharayaani unalipwa scale llsq je hapo umeshushwa cheo au umebadilishiwa majukumu?ninavyo fahamu unaweza ukawa mkuu wa idara (scale lls) wakaona haufai na kukufukuza au kukushusha cheo au kukustafisha kwa maslahi ya uma au kukuhamisha utapeleka tabia hiyo sehemu nyingine au kuna hasara watapata hasa ya kesi na ikiwezekana ukashinda kesi au vinginevyo kwa maana ya kushusha mshahara ni mlolongo wa kesi ambao unaweza ukawashinda kirahisi na wanahitaji kukuchunguza zaidi lakini usilete madhara wakati wa uchunguzi ukiendelea
basi yanatokea hayo ya kupangiwa kuwa mkuu wa soko,afisa mtendaji nk ila mshahara umebaki hivyo hivyo.
nimeshuhudia kwa watu 27. na kati ya hao 11 wamerudishwa position zao,wengine wamekufa kabla ya kurudi position na wengine waliomba kwenda shule wengine wakapata fursa huko vijijin wakawa matajir wakubwa wengine kuchukua likizo bila malipo nk.
na hayo nimeyashuhudia sio awamu hii tu,awamu hii nimeshuhudia wawili tu.

Kiongozi, jikite kwenye mfano wake (ambao labda ndo uhalisia) ili uweze kumuelewa. AFISA USHIRIKA wa halmashauri ni CHEO/POSITION/NAFASI ambayo ndiyo mtu kaajiliwa nayo. MKUU WA SOKO ni CHEO/POSITION/NAFASI na mtu hua anaajiriwa kwa nafasi hyo. Kwahyo sio kwamba kua mkuu wa soko NI MAJUKUMU MENGINE YA AFISA USHIRIKA, hapana. Huyu amekoma kuwa afisa ushirika na anakua mkuu wa soko.

Na issue haipo kwenye kushushwa mshahara mjue, hata mshahara ukibaki wa afisa ushirika bado ni loss kwake kwakua huyu mtu sasa ataendelea kugrow katika utumishi kama MKUU WA SOKO na sio AFISA USHIRIKA. kwahyo kwakua mshahara wa mkuu wa soko (kwa vyovyote vile ktk entry level) ni mdogo kuliko wa afisa ushirika, huyu jamaa ataendelea kugrow bila nyongeza ya mshahara kwakua mshahara wa ushirika bado utaendelea kua mkubwa kuliko ngazi anazoendelea kugrow nazo kama mkuu wa soko.

Maana yake ni kwamba mshahara wake utakuja kupandishwa siku ambapo atakapopandishwa daraja la mshahara katika nafas yake hyo mpya, na daraja hilo lizidi lile na Afisa ushirika (just imagine inachukua muda gan).

Sjui lakn, waje na wanaojua zaidi watusaidie.
 
kuna afisa biashara mmoja ilimchukua miaka mitatu kurudi ila yy alikuwa mtendaji wa kata,kuna afisa ushirika masoko yy alikwenda mtendaji kijiji,kuna afisa elimu alipangiwa kuwa mwalimu msingi,kuna afisa misitu yy alipangiwa kusimamia usafi,kuna mhasibu yy alipelekwa kusaidia shule ilokuwa na mchepuko wa eca.kuna dt yy aliamua kuacha kazi.
ila la kukushauri lolote ufanyalo usiwe na hasira,jipange jifanye umelidhika la sivyo...........................mie simo
 
yeye alipewa barua je barua ilikuwa na sababu gani?je afisa ushirika baadhi ya majukumu hasimamii masoko?je barua yake inasema kupangiwa kituo kipya cha kazi (kwenye soko) au inasema kubadilishwa cheo? je alikuwa afisa ushirika(tgs d and above) au afisa ushirika wilaya (lls)?
Kiongozi, jikite kwenye mfano wake (ambao labda ndo uhalisia) ili uweze kumuelewa. AFISA USHIRIKA wa halmashauri ni CHEO/POSITION/NAFASI ambayo ndiyo mtu kaajiliwa nayo. MKUU WA SOKO ni CHEO/POSITION/NAFASI na mtu hua anaajiriwa kwa nafasi hyo. Kwahyo sio kwamba kua mkuu wa soko NI MAJUKUMU MENGINE YA AFISA USHIRIKA, hapana. Huyu amekoma kuwa afisa ushirika na anakua mkuu wa soko.

Na issue haipo kwenye kushushwa mshahara mjue, hata mshahara ukibaki wa afisa ushirika bado ni loss kwake kwakua huyu mtu sasa ataendelea kugrow katika utumishi kama MKUU WA SOKO na sio AFISA USHIRIKA. kwahyo kwakua mshahara wa mkuu wa soko (kwa vyovyote vile ktk entry level) ni mdogo kuliko wa afisa ushirika, huyu jamaa ataendelea kugrow bila nyongeza ya mshahara kwakua mshahara wa ushirika bado utaendelea kua mkubwa kuliko ngazi anazoendelea kugrow nazo kama mkuu wa soko. Maana yake ni kwamba mshahara wake utakuja kupandishwa siku ambapo atakapopandishwa daraja la mshahara katika nafas yake hyo mpya, na daraja hilo lizidi lile na Afisa ushirika (just imagine inachukua muda gan).

Sjui lakn, waje na wanaojua zaidi watusaidie.
 
Mleta uzi acha kujikaanga kwa mafuta yako mwenyewe....jitathimini acha ushabiki wa vyama ofisini na mtaani we are watching you....subiri Lowasa akiwa rais ndio uonyeshe mapenzi yako.....na usipobadilika tutakuondoa kabisa maana unahatarisha utekelezaji wa ilani....BADILIKA
 
Mkuu umechanganya POSITION na JOB DESCRIPTION.

Sio kwel kwamba mwajiri anaweza kumshisha mtu cheo wakat wowote kwasababu ni mtumishi wake ispokua anaweza KUMPANDISHA cheo. Kama ni kumshusha cheo kwa sababu za kinidhamu zipo hatua za kiutumishi zilipaswa kuchukuliwa na procedure lazima ifuatwe, sio kubambikizwa tu.

Jamaa hajafanyiwa fair. Kama amepania namshauri akafungue shauri CMA kama anafkiri kwa kazi yake hyo mpya kuna maslahi yake yameingiliwa. CMA watamuita mwajiri wako (atawakilishwa na afisa mkuu wa utumishi) ataeleza tatizo la kinidhamu ulilofanya na atareview procedure na kucheck compliance. Kesi za design hii mwajiri sio rahis kushinda. Utarudishwa kwenye nafas yako na kuoewa haki zako zote ulizokua umenyimwa.

Ukitembelea CMA watakushauri zaidi namna ya kufungua shauri.

Waajiri sasa wamepagawa.
Hizo procedure siyo Local Govt, nadhani aliyeeleza hapo juu yupo sahihi, afisa ushirika wilaya ni mtu wa kawaida kwani siyo idara ama kitengo chenye mamlaka sawa na idara, Ushirika ni sehemu ya idara ya Kilimo na ushirika, hivyo mkuu wake wa idara anayelipwa ngazi ya mshahsra wa Lsse-1 hivyo hapo umebadilishiliwa majukumu tu na hata ukashitaki hakuna pa kutokea kwa kubadilishiwa majukumu! Kumbuka masoko ni sehemu ya majukumu yako pia afisa ushirika! LAKINI pili, Taarifa za utumishi wa umma zinapatikana kwa njia nyingi na kuna watu wanaokusanya taarifa za utendaji ndiyo sababu wakati fulani uteuzi fulani fulani ukifanyika utasikia daaa yule bwana wamepatia kabisaaaa hakuna mtu aliyemfikiria!!! Pole nenda kafanye kazi kwa utulivu onyesha uwezo wako na ubunifu utaonekana , ila kosa la siasa likiingia kwenye faili kiukweli kulisafisha ni kazi sana!
 
Mkuu umechanganya POSITION na JOB DESCRIPTION.

Sio kwel kwamba mwajiri anaweza kumshisha mtu cheo wakat wowote kwasababu ni mtumishi wake ispokua anaweza KUMPANDISHA cheo. Kama ni kumshusha cheo kwa sababu za kinidhamu zipo hatua za kiutumishi zilipaswa kuchukuliwa na procedure lazima ifuatwe, sio kubambikizwa tu.

Jamaa hajafanyiwa fair. Kama amepania namshauri akafungue shauri CMA kama anafkiri kwa kazi yake hyo mpya kuna maslahi yake yameingiliwa. CMA watamuita mwajiri wako (atawakilishwa na afisa mkuu wa utumishi) ataeleza tatizo la kinidhamu ulilofanya na atareview procedure na kucheck compliance. Kesi za design hii mwajiri sio rahis kushinda. Utarudishwa kwenye nafas yako na kuoewa haki zako zote ulizokua umenyimwa.

Ukitembelea CMA watakushauri zaidi namna ya kufungua shauri.

Waajiri sasa wamepagawa.
[emoji120]
 
Naombeni kujua hatua yakuchukua punde unapobadilishwa kitengo cha juu na kuhamishiwa cha kawaida sababu zikiwa za kutuhumiwa kujihusisha na siasa bila kuwa na fact.
Mf. Kuondolewa cheo cha uafisa ushirika wilaya na kuwa mkuu wa soko.
Km Mkurugenzi anapokea order tu kutoka kwa wanasiasa na kufanya maamuzi bila ushahidi. Ni halali?
Ushauri;
+ usipige au kuchangia stor za siasa kazini sio wote wanakusapoti wengine wachunguzaji, wengine kipemba kwa mabosi
+ huezi jua umeepushiwa nini, nenda kapige kazi mlango mwingine umefunguka tayar
+endapo unataka haki fuata taratib utakazo shauriwa ili ujue unaanzia wap
+ usioneshe kwa bos wako dalili yoyote ya kuchukia, umekasirik huenda nyuma kuna watu wengine, maranyingi mabos wengi huwa wanapokea oda, fitina, kipemba , so smile to him o her
 
Na Kitila Mkumbo atahukumiwa na nani?
 
Back
Top Bottom