Mkiu Kwetu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 261
- 278
Pole sana mamii, jaribu kwenda Aga khan fanya appointment na Dr Lynn, Mimi binafsi namuamini sana, naamini utarudi na mrejesho mzuri, Mungu akutangulie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kesho nenda, ulizia kama yuko kazini fanya appointment, kwa kweli yuko vzr naamini atakusaidia. Pia mtangulize Mungu.Ameen,,siku gan na muda niende hapo?
Ukienda Huko Hospitali ulipo shauriwa na wakuu na haujapata damu ya siku zako nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona.Habari wadau wa jf doctor
Naombeni msaada kwani nakata tamaa kabisa ya kupata mtoto baada ya kusimama kwa hedhi yangu ...iko hiv nilibeba mimba mwaka 2015 kwa bahati mbaya mimba ilivyofikisha miezi mitano(5) mtoto akawa hakui tena(kiumbe kimefariki) basi nikatolewa na kusafishwa vyema palestina hosp ...baada ya hapo nikawa naingia kwenye siku zangu kawaida mzunguko siku 28 jpo bleed ilikuwa nyepesi sana na inatoka siku 2-3 basi nikaanza kwenda hosp nikafanyiwa ultra sound na kusema nina polycysts ila nikatibiwa nikapona ,ikawa saingine napata maumivu makali chin ya tumbo mara kila nikipima uti n.k but mwisho wa siku nikapona kabisa hata nilivyokuja kufanya vipimo nikawa sina tatizo lolote lile nikawa naendelea na mchakato wa kutafuta mtoto
Mwaka jana mwezi wa 6 hapo ndio tatizo jipya lilianza nilivusha siku kwa miez miwili nikaenda hosp nikaambiwa nimwone gynaecologist nikafanya hivyo hapo unaenda mwez wa 3 sijablid akaanza nifanyia vipimo upya kabisa ;wanasema majibu na vipimo n siri ya mgonjwa na dokta ila naomba kuweka vipimo na majibu hapa ili niweze kusaidika kwa urahisi
HSG(kucheki mirija)------------ NORMAL HSG EXAMINATION
ULTRA SOUND-------NORMAL PELVIC USS EXAM
TOXOIgG-------26.98 ,unit IU/mL ,status POSITIVE
CMVIgG-----12.41, unit IU/mL status POSITIVE
RUBELLAIgG-------15.08,unit IU/mL ,status NEGATIVE
HbsAg---- NEGATIVE
VDRL ---- NEGATIVE
COLOR -----CLEAR YELLOW
PH------ 6.5
S.G------1.020
SUGAR---- NIL
KETONE---- NIL
PROTEIN--- NIL
Pus cells ---- 15-20 hps
Epith cells ---- ++
Crystals--- NIL
Cast---- NIL
Ova-----NIL
PROGESTERONE ---- iko sawa
FSH----Iko sawa
LH---- iko sawa
PRL --- iko sawa
Estradol -----iko sawa
Baada ya vipimo vyote nikaandikiwa vitamin b,folic acid na NORETHISTERONE 5(primolut _N) za 10 dayd 1*3
Baada ya kumaliza siku 3 mbele nikaona siku zangu walau ilikuwa heavy kiasi na ikatoka 3 days siku ya tano nikameza clomifen then siku ya 11 nikaanza dulphaston kisha nikaambiwa ndio nikutane na mr but unfortunately alipata ajal[emoji17]
Ilivyofika siku ya 28 sikuona siku zangu ikaenda mpka siku ya 35 hamna kitu nikarudia kipimo cha ,,,,S.Prolactin majibu yakatoka sina tatizo
Ikabidi nirudie tena kumeza NORETHISTERONE 5(primolut N) za 10 days 1*3
Umri -29
HOFU YANGU; naombeni kama kuna mtu alishawahi kupata changamoto hii aliitatua vipi maana napata mashaka mno je ili bleed itoke nitakuwa mpaka nimeze hizi dawa???
Madokta wa jf naomben msaada wenu pls pls napatwa na mashaka mno tena mno
Uso umeharibika mno kwa chunus tangu siku ya 25 baada ya blid(yan zilitoka kama naingia kwenye siku zangu na chuchu kuuma na haikutoka)
Samahanini kwa uzi mrefu ila NAOMBEN MSAADA WA KIMAWAZO TAFADHALINI SANA ,,,NATAMANI KUONA NAINGIA KWENYE SIKU ZANGU BILA KULAZIMISHA NA DAWA ASANTENI
Dah asante sana kwa ushauri mkuu tena sana ,,, umenikumbusha jambo yai kutokupevuka la upande wa kushoto hii niliambiwa siku nyingi sema nilipewa dawa sikujua kama tatizo liliisha ama lah itabid nikirud hosp next week nimwambie gynoPolycystic ovarian syndrome (PCOS) inaweza kua ndo ugonjwa wako. Ingawa mie sio dr wa wanawake.
Kupata siku zako haimanishi utapata mimba maana cycles zingine yai haitoki. Zinaitwa Anovulatory cycles. Nenda kwa Dr akusaidie kukupa dawa za kusaidia yai litoke. (Narudia muhimu ni yai litoke....sio kupata siku zako) Hata bibi wa miaka 70 akipewa dawa atapata siku zake)
Nakuomba mdogo wangu achana na tiba mbadala hao waganga lazima watakusumbua na utamaliza pesa zako. Ndo kilichomtajirisha Dr Mwaka. Dawa ya kizungu inachanganywa na kienyeji then unauziwa kichupa laki saba.