Msaada: Kusimama kwa hedhi ghafla

Pole sana mamii, jaribu kwenda Aga khan fanya appointment na Dr Lynn, Mimi binafsi namuamini sana, naamini utarudi na mrejesho mzuri, Mungu akutangulie.
 
Pole sana mamii, jaribu kwenda Aga khan fanya appointment na Dr Lynn, Mimi binafsi namuamini sana, naamini utarudi na mrejesho mzuri, Mungu akutangulie.
Ameen,,siku gan na muda niende hapo?
 
Nangojea wataalamu msaada wenu pls
 
Kuna maswali nimekuuliza nafikiri hujayaona, yapitie kisha unipe majibu.
 
Tazama ndege wa anga hawana ghara wala shamba lakini Mungu wa mbinguni uwalisha. Wewe ni Bora kuliko Hao. Nitakusaidia kwenye pm
 
Ukienda Huko Hospitali ulipo shauriwa na wakuu na haujapata damu ya siku zako nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Polycystic ovarian syndrome (PCOS) inaweza kua ndo ugonjwa wako. Ingawa mie sio dr wa wanawake.
Kupata siku zako haimanishi utapata mimba maana cycles zingine yai haitoki. Zinaitwa Anovulatory cycles. Nenda kwa Dr akusaidie kukupa dawa za kusaidia yai litoke. (Narudia muhimu ni yai litoke....sio kupata siku zako) Hata bibi wa miaka 70 akipewa dawa atapata siku zake)
Nakuomba mdogo wangu achana na tiba mbadala hao waganga lazima watakusumbua na utamaliza pesa zako. Ndo kilichomtajirisha Dr Mwaka. Dawa ya kizungu inachanganywa na kienyeji then unauziwa kichupa laki saba.
 
Dah asante sana kwa ushauri mkuu tena sana ,,, umenikumbusha jambo yai kutokupevuka la upande wa kushoto hii niliambiwa siku nyingi sema nilipewa dawa sikujua kama tatizo liliisha ama lah itabid nikirud hosp next week nimwambie gyno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…