Msaada: Kusimama kwa hedhi ghafla

Msaada: Kusimama kwa hedhi ghafla

Nima Imma

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
2,473
Reaction score
3,669
Habari wadau wa jf doctor

Naombeni msaada kwani nakata tamaa kabisa ya kupata mtoto baada ya kusimama kwa hedhi yangu ...iko hiv nilibeba mimba mwaka 2015 kwa bahati mbaya mimba ilivyofikisha miezi mitano(5) mtoto akawa hakui tena(kiumbe kimefariki) basi nikatolewa na kusafishwa vyema palestina hosp ...baada ya hapo nikawa naingia kwenye siku zangu kawaida mzunguko siku 28 jpo bleed ilikuwa nyepesi sana na inatoka siku 2-3 basi nikaanza kwenda hosp nikafanyiwa ultra sound na kusema nina polycysts ila nikatibiwa nikapona ,ikawa saingine napata maumivu makali chin ya tumbo mara kila nikipima uti n.k but mwisho wa siku nikapona kabisa hata nilivyokuja kufanya vipimo nikawa sina tatizo lolote lile nikawa naendelea na mchakato wa kutafuta mtoto

Mwaka jana mwezi wa 6 hapo ndio tatizo jipya lilianza nilivusha siku kwa miez miwili nikaenda hosp nikaambiwa nimwone gynaecologist nikafanya hivyo hapo unaenda mwez wa 3 sijablid akaanza nifanyia vipimo upya kabisa ;wanasema majibu na vipimo n siri ya mgonjwa na dokta ila naomba kuweka vipimo na majibu hapa ili niweze kusaidika kwa urahisi

HSG(kucheki mirija)------------ NORMAL HSG EXAMINATION

ULTRA SOUND-------NORMAL PELVIC USS EXAM

TOXOIgG-------26.98 ,unit IU/mL ,status POSITIVE

CMVIgG-----12.41, unit IU/mL status POSITIVE

RUBELLAIgG-------15.08,unit IU/mL ,status NEGATIVE

HbsAg---- NEGATIVE

VDRL ---- NEGATIVE

COLOR -----CLEAR YELLOW

PH------ 6.5

S.G------1.020

SUGAR---- NIL

KETONE---- NIL

PROTEIN--- NIL

Pus cells ---- 15-20 hps

Epith cells ---- ++

Crystals--- NIL

Cast---- NIL

Ova-----NIL

PROGESTERONE ---- iko sawa

FSH----Iko sawa

LH---- iko sawa

PRL --- iko sawa

Estradol -----iko sawa

Baada ya vipimo vyote nikaandikiwa vitamin b,folic acid na NORETHISTERONE 5(primolut _N) za 10 dayd 1*3

Baada ya kumaliza siku 3 mbele nikaona siku zangu walau ilikuwa heavy kiasi na ikatoka 3 days siku ya tano nikameza clomifen then siku ya 11 nikaanza dulphaston kisha nikaambiwa ndio nikutane na mr but unfortunately alipata ajal[emoji17]

Ilivyofika siku ya 28 sikuona siku zangu ikaenda mpka siku ya 35 hamna kitu nikarudia kipimo cha ,,,,S.Prolactin majibu yakatoka sina tatizo

Ikabidi nirudie tena kumeza NORETHISTERONE 5(primolut N) za 10 days 1*3

Umri -29

HOFU YANGU; naombeni kama kuna mtu alishawahi kupata changamoto hii aliitatua vipi maana napata mashaka mno je ili bleed itoke nitakuwa mpaka nimeze hizi dawa???

Madokta wa jf naomben msaada wenu pls pls napatwa na mashaka mno tena mno

Uso umeharibika mno kwa chunus tangu siku ya 25 baada ya blid(yan zilitoka kama naingia kwenye siku zangu na chuchu kuuma na haikutoka)

Samahanini kwa uzi mrefu ila NAOMBEN MSAADA WA KIMAWAZO TAFADHALINI SANA ,,,NATAMANI KUONA NAINGIA KWENYE SIKU ZANGU BILA KULAZIMISHA NA DAWA ASANTENI
 
Pole sana mamy Mungu akuponye hilo tatizo Sky Eclat ebu ukuje kwa huyu dada na wengine
 
Pole sanaa dia,Mungu atafanya njia
 
Pole mno, mno, ila pia ni vyema ukapata vipimo na ushauri kutoka hospital kubwa zaidi!

Umri pia changamoto japo siyo sana. Mungu akusaidie upate mimba kisha uzae na ulee
 
29 umri n changamoto??? Then hivyo vipimo vyote nimefanyia Kairuki hosp chin ya gyna je n hosp gan ingine naweza fanya vipimo tofaut na hivyo? Na vya aina gan ? Ili nijue tatizo liko wapi msaada pls
 
Kabla sijaandika japo kwa uchache, niendelee kukuliza mdogo wangu

Baada ya kutibu hii polycysts,period ilirudi kama ilivyokuwa zamani (yaani kabla hata ya kupata ujauzito) au ilikua period nyepesi? ?
 
Baada ya kutibu polycysts ,pid infection ,uti na maumivu makali chin ya tumbo blid haikurud kama zaman kabla yaa,,, (nilibeba mimba blid ikiwa nyepes na inatoka siku 2-3 lakin ilikuwa ktk mpangilio wa 28 days)
 
Polee sana dada ngoja watakuja tuuu wataalamu humu watakushauri vizuri sana, Mungu akusaidie na kukutimizia hitaji la moyo wako, nakuombea sana!
 
Asante sana ,,
 
Back
Top Bottom