William mkapa
Member
- Jul 17, 2017
- 11
- 1
Sawa mkuu
Mbona kwenye chapati uwa amira aitumiki na nikila bado uwa linanisumbua.
Kwa haraka haraka kutokana na maelezo yako,unaweza kuwa unasumbuliwa na ugonjwa unaoitwa kwa kitaalamu INFLAMMATORY BOWEL DISEASE (???Coeliac disease). Nenda hospital inayoeleweka ufanyiwe vipimo zaidi na ushauri. Meanwhile epuka hivyo vyakula kama utawezaHabari za mda huu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nimekuja hapa kupata ushauri.
Nimekuwa nikisumbuliwa na kuumwa kwa tumbo Mara tu nilapo vitu vilivyotengenezewa unga wa ngano ( mfano: maandazi, mikate etc).
Kwa takribani miaka mi 3 hivi, nimejaribu kwenda hospitalini lakini hakuna walichoweza kunisaidia, hivyo basi nahitaji msaada wenu.
Sawa mkuu nitajaribu kufanya hivyo....Kwa haraka haraka kutokana na maelezo yako,unaweza kuwa unasumbuliwa na ugonjwa unaoitwa kwa kitaalamu INFLAMMATORY BOWEL DISEASE (???Coeliac disease). Nenda hospital inayoeleweka ufanyiwe vipimo zaidi na ushauri. Meanwhile epuka hivyo vyakula kama utaweza
Sent using Jamii Forums mobile app