William mkapa
Member
- Jul 17, 2017
- 11
- 1
Habari za mda huu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nimekuja hapa kupata ushauri.
Nimekuwa nikisumbuliwa na kuumwa kwa tumbo Mara tu nilapo vitu vilivyotengenezewa unga wa ngano ( mfano: maandazi, mikate etc).
Kwa takribani miaka mi 3 hivi, nimejaribu kwenda hospitalini lakini hakuna walichoweza kunisaidia, hivyo basi nahitaji msaada wenu.