Msaada: Kusumbuliwa na tumbo ukila vitafunwa vya ngano

William mkapa

Member
Joined
Jul 17, 2017
Posts
11
Reaction score
1
Habari za mda huu,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nimekuja hapa kupata ushauri.

Nimekuwa nikisumbuliwa na kuumwa kwa tumbo Mara tu nilapo vitu vilivyotengenezewa unga wa ngano ( mfano: maandazi, mikate etc).

Kwa takribani miaka mi 3 hivi, nimejaribu kwenda hospitalini lakini hakuna walichoweza kunisaidia, hivyo basi nahitaji msaada wenu.
 
Hahaaaaaa ila mkuu hip ID yako hatari sana. Una undugu nae???

[HASHTAG]#nje[/HASHTAG] ya mada
 
Habari za mda huu,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nimekuja hapa kupata ushauri.

Nimekuwa nikisumbuliwa na kuumwa kwa tumbo Mara tu nilapo vitu vilivyotengenezewa unga wa ngano ( mfano: maandazi, mikate etc).

Kwa takribani miaka mi 3 hivi, nimejaribu kwenda hospitalini lakini hakuna walichoweza kunisaidia, hivyo basi nahitaji msaada wenu.
Kwa haraka haraka kutokana na maelezo yako,unaweza kuwa unasumbuliwa na ugonjwa unaoitwa kwa kitaalamu INFLAMMATORY BOWEL DISEASE (???Coeliac disease). Nenda hospital inayoeleweka ufanyiwe vipimo zaidi na ushauri. Meanwhile epuka hivyo vyakula kama utaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu nitajaribu kufanya hivyo....
 
Back
Top Bottom