Heshima kwenu wataalam MUNGU ni Mwema ametupatia Kijana mwingine ana Miezi mi3 amezaliwa kwa OP ila anatatizo 1 km MAFUA hv anapatashida sana hasa wakati wakunyonya Wengine wanasema labda Alegy,Labda alipozaliwa alikunywa MAJI ili mradi kila mtu anasema lake Tumempeka kwa Dr KHAMEER pale FIRE kasema hana tatizo Litaisha Lenyewe baada ya muda Cjalidhika Nimekuja kwenu km kuna Dr wa kweli ataeweza kumsaidia Kijana wangu Natanguliza Shukrani niko DAR..!
nenda kamuone Dr Masawe pale Furaha Clinic - Morocco.
Pole na matatizo.
Ushauri tumia lugha ya kiustaarabu na jua kwamba matibabu muda mwingine ni kama kwenda kwa Mganga wa kienyeji.Kwa hiyo Dr. Khameer siyo Dr au!
Hivi ukizunguka na mwisho ushauri wake ukatimia huoni kuwa hujamtendea haki na zaidi kumharibia kazi yake.
Ungeweza tu kusema ''Cjalidhika na ningependa kupata ushauri mwingine wa pili ,tatu nk.''