Msaada kutoka kwa dokta wa watoto

Msaada kutoka kwa dokta wa watoto

dolevaby

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
12,958
Reaction score
9,516
Heshima kwenu wataalam Mungu ni mwema ametupatia kijana mwingine ana miezi mitatu amezaliwa kwa OP ila anatatizo 1 kama mafua hivi anapatashida sana hasa wakati wakunyonya.

Wengine wanasema labda alegy. Labda alipozaliwa alikunywa maji ili mradi kila mtu anasema lake. Tumempeka kwa Dr KHAMEER pale FIRE kasema hana tatizo litaisha lenyewe baada ya muda.

Sijalidhika nimekuja kwenu kama kuna Dr wa kweli ataeweza kumsaidia kijana wangu.

Natanguliza shukrani niko DAR..!
 
nenda kamuone Dr Masawe pale Furaha Clinic - Morocco.
 
Kama Dr Khameer kakwambia hivyo basi fuata ushauri wake.
 
Heshima kwenu wataalam MUNGU ni Mwema ametupatia Kijana mwingine ana Miezi mi3 amezaliwa kwa OP ila anatatizo 1 km MAFUA hv anapatashida sana hasa wakati wakunyonya Wengine wanasema labda Alegy,Labda alipozaliwa alikunywa MAJI ili mradi kila mtu anasema lake Tumempeka kwa Dr KHAMEER pale FIRE kasema hana tatizo Litaisha Lenyewe baada ya muda Cjalidhika Nimekuja kwenu km kuna Dr wa kweli ataeweza kumsaidia Kijana wangu Natanguliza Shukrani niko DAR..!

Pole na matatizo.
Ushauri tumia lugha ya kiustaarabu na jua kwamba matibabu muda mwingine ni kama kwenda kwa Mganga wa kienyeji.Kwa hiyo Dr. Khameer siyo Dr au!
Hivi ukizunguka na mwisho ushauri wake ukatimia huoni kuwa hujamtendea haki na zaidi kumharibia kazi yake.

Ungeweza tu kusema ''Cjalidhika na ningependa kupata ushauri mwingine wa pili ,tatu nk.''
 
nenda kamuone Dr Masawe pale Furaha Clinic - Morocco.

Asante kwa Ushauri ndugu..! ninavyockia maDR wengi mara nyingi Wanapatikana kwa Muda maalum unaweza kunisaidia kujua? Au muda wowote anapatikana Pia ni MOROCO kuelekea upande gani..!?
 
Nenda kwa prof karim upanga

Asante ndg yangu Upanga ni kubwa kdg unaweza kunipa maelezo yakutosha ili nifike huko? Pia anaMuda maalum wakupatikana? au Muda wowote?
 
Pole na matatizo.
Ushauri tumia lugha ya kiustaarabu na jua kwamba matibabu muda mwingine ni kama kwenda kwa Mganga wa kienyeji.Kwa hiyo Dr. Khameer siyo Dr au!
Hivi ukizunguka na mwisho ushauri wake ukatimia huoni kuwa hujamtendea haki na zaidi kumharibia kazi yake.

Ungeweza tu kusema ''Cjalidhika na ningependa kupata ushauri mwingine wa pili ,tatu nk.''

Asante kwakunisahihisha..!
 
Back
Top Bottom