dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Heshima kwenu wataalam Mungu ni mwema ametupatia kijana mwingine ana miezi mitatu amezaliwa kwa OP ila anatatizo 1 kama mafua hivi anapatashida sana hasa wakati wakunyonya.
Wengine wanasema labda alegy. Labda alipozaliwa alikunywa maji ili mradi kila mtu anasema lake. Tumempeka kwa Dr KHAMEER pale FIRE kasema hana tatizo litaisha lenyewe baada ya muda.
Sijalidhika nimekuja kwenu kama kuna Dr wa kweli ataeweza kumsaidia kijana wangu.
Natanguliza shukrani niko DAR..!