Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mwaka 2007 nilipima macho, nikavaa miwani mwaka mmoja naona kikapona kabisa, kimekuja kuibuka tena nikarudi kupima macho nikaambiwa sina tatizo.... Labda niende tenaPima macho uvae miwani kitapona
Kinauma hapa mbele kwenye forehead...Swali, je kinaume sehemu gani.
Jaribu hivi kama hujafanya. 1. Kapime macho 2. Jitahidi kunywa maji ya kutosha sio chini ya lita tatu kwa siku
Nenda tena....ukiweza kama you dar nenda pale shoperzplazza kuna clinic ya macho ya wahindi fulan ni wazuri sana kwa matibabu na vipimo.Mwaka 2007 nilipima macho, nikavaa miwani mwaka mmoja naona kikapona kabisa, kimekuja kuibuka tena nikarudi kupima macho nikaambiwa sina tatizo.... Labda niende tena
Ahsante
ShukranNenda tena....ukiweza kama you dar nenda pale shoperzplazza kuna clinic ya macho ya wahindi fulan ni wazuri sana kwa matibabu na vipimo.
Ushasikia kitu inaitwa presha ya macho, sijasema kapime miwani, nimesema kapime macho. Watu wengi wanafikiri kupima macho ni miwani tu. tafuta wataalamu wanao juwa kazi kama alivyo sema bwana Who Cares? . Kuhusu swala la maji kama unataka kupona you have to drink, no more options.Mwaka 2007 nilipima macho, nikavaa miwani mwaka mmoja naona kikapona kabisa, kimekuja kuibuka tena nikarudi kupima macho nikaambiwa sina tatizo.... Labda niende tena
Ahsante
Ahsante, naomba unidokeze hiyo presha ya macho ni nini? Inakuaje?Ushasikia kitu inaitwa presha ya macho, sijasema kapime miwani, nimesema kapime macho. Watu wengi wanafikiri kupima macho ni miwani tu. tafuta wataalamu wanao juwa kazi kama alivyo sema bwana Who Cares? . Kuhusu swala la maji kama unataka kupona you have to drink, no more options.
Hapo kwa hao wadosi wa shoperz vision plus ni balaaa...mie wife tulihangaika mpaka muhimbili piga mi ct scan na vurugu zoteee...macho alipimaga kwa wale wamarekani wa eye internationals clinique hawakuona kitu....kuja kwa mdoc fastaaa kapona mpaka Leo haamini coz tulishakata tamaa kabisaaaKama huko dar ne.da ccbrt au zahanati moja pale shoppers plaza ground floor.nahisi mishioa ya retina imelegea maumivu yake usipime
UnaniogopeshaKama huko dar ne.da ccbrt au zahanati moja pale shoppers plaza ground floor.nahisi mishioa ya retina imelegea maumivu yake usipime
Alikua na shida gani? If you don't mind, alipewa dawa?Hapo kwa hao wadosi wa shoperz vision plus ni balaaa...mie wife tulihangaika mpaka muhimbili piga mi ct scan na vurugu zoteee...macho alipimaga kwa wale wamarekani wa eye internationals clinique hawakuona kitu....kuja kwa mdoc fastaaa kapona mpaka Leo haamini coz tulishakata tamaa kabisaaa
NakupuuzaMwanga wa simu unakudhuru maaana kutwa kucha unakesha kutafuta umbea Jamie forum. ...
Sio maneno hayo ya kumwambia mwenzio, kama uliona huna cha kumshauri ungepiga kimya tuMwanga wa simu unakudhuru maaana kutwa kucha unakesha kutafuta umbea Jamie forum. ...
Kwa uashauri tu ni bora ungeenda hospitali kubwa kufanya screening ya mwili wote kwa sababu kwenye maumivu kuna kitu kinaitwa referred pain yan unaweza kuwa unaskia maumivu begani kumbe ugonjwa upo tumboni hio inatokea kama structures zina embryonic origin moja.......sasa kwa case yako inawezekana tatizo sio macho ila ni kitu kingine tofauti au unaweza kukuta macho ni secondary problem kwahio ukitibu macho kichwa kinaweza kuacha kuuma lakin tatizo unakua hujalimaliza...Good morning jf....
Mi nasumbuliwa sana na kichwa, ni muda mrefu sasa kinaniuma, yani siku ninazo kaa bila kuumwa zinahesabika, hospital nishaenda nikipima sina shida yoyote, pain killers nishakunywa sana naona nmechoka sahivi kikiuma nalala tu.
Kuna siku naamka usingizini kichwa kinaniuma, nikikaa sehemu yenye hewa ndogo naumwa kichwa,nikihisi njaa kinauma, nikitembea juani naumwa, naweza kuwa na shida gani? Tiba yake ni nini?
Pia jitahidi kunywa maji mengi kwa sikuGood morning jf....
Mi nasumbuliwa sana na kichwa, ni muda mrefu sasa kinaniuma, yani siku ninazo kaa bila kuumwa zinahesabika, hospital nishaenda nikipima sina shida yoyote, pain killers nishakunywa sana naona nmechoka sahivi kikiuma nalala tu.
Kuna siku naamka usingizini kichwa kinaniuma, nikikaa sehemu yenye hewa ndogo naumwa kichwa,nikihisi njaa kinauma, nikitembea juani naumwa, naweza kuwa na shida gani? Tiba yake ni nini?
Sio maneno hayo ya kumwambia mwenzio, kama uliona huna cha kumshauri ungepiga kimya tu