Msaada, kuumwa kichwa (tatizo sugu)

Msaada, kuumwa kichwa (tatizo sugu)

Kwa uashauri tu ni bora ungeenda hospitali kubwa kufanya screening ya mwili wote kwa sababu kwenye maumivu kuna kitu kinaitwa referred pain yan unaweza kuwa unaskia maumivu begani kumbe ugonjwa upo tumboni hio inatokea kama structures zina embryonic origin moja.......sasa kwa case yako inawezekana tatizo sio macho ila ni kitu kingine tofauti au unaweza kukuta macho ni secondary problem kwahio ukitibu macho kichwa kinaweza kuacha kuuma lakin tatizo unakua hujalimaliza...
Ahsante, nitaenda huko nilikoelekezwa kwa wahindi, make hospital za government naenda nawaeleza tatizo na history kuwa ni muda mrefu naumwa naishia kuandikiwa nikacheki Bs wakijitahidi ndio hivo na macho
 
Nenda kwa watalam wa mambo ya pua Na koo tatizo linawezakuwa ni mishipa ya Kwenye pua Na kama kamasi hazikuishi pia Ndio sababu kumeziba kwa Ndani
 
Nenda kwa watalam wa mambo ya pua Na koo tatizo linawezakuwa ni mishipa ya Kwenye pua Na kama kamasi hazikuishi pia Ndio sababu kumeziba kwa Ndani
Sina tatizo la mafua kabisa, ahsante
 
Usisahau kuleta mrejesho,, hata ukienda hospitali usisahau kufanya maombi dada kama ni mtu wa imani
Maombi hufungua vifungo vingi vinavyo sumbua miili yetu kwa imani. ubarikiwe sana
 
Usisahau kuleta mrejesho,, hata ukienda hospitali usisahau kufanya maombi dada kama ni mtu wa imani
Maombi hufungua vifungo vingi vinavyo sumbua miili yetu kwa imani. ubarikiwe sana
Amina.....
Ahsante
 
Usikae na njaa....

Kama ilishavaa mawani kapime tena....... inawezekana ni macho (au jua.... huwa linaumiza)

Angalia presha

Angalia vyakula....gluten wakati mwingine huleta kichwa kwa baadhi ya watu
 
Good morning jf....

Mi nasumbuliwa sana na kichwa, ni muda mrefu sasa kinaniuma, yani siku ninazo kaa bila kuumwa zinahesabika, hospital nishaenda nikipima sina shida yoyote, pain killers nishakunywa sana naona nmechoka sahivi kikiuma nalala tu.

Kuna siku naamka usingizini kichwa kinaniuma, nikikaa sehemu yenye hewa ndogo naumwa kichwa,nikihisi njaa kinauma, nikitembea juani naumwa, naweza kuwa na shida gani? Tiba yake ni nini?
hiv umepima?
 
Ushasikia kitu inaitwa presha ya macho, sijasema kapime miwani, nimesema kapime macho. Watu wengi wanafikiri kupima macho ni miwani tu. tafuta wataalamu wanao juwa kazi kama alivyo sema bwana Who Cares? . Kuhusu swala la maji kama unataka kupona you have to drink, no more options.
Hospitali nyingi katika nchi hii (za serikali na binafsi) imeshakuwa utaratibu wa kawaida:
Kila mwenye kichwa, anakuwa referred idara ya macho
Kule idara ya macho akipimwa, uwezekano mkubwa ataishia kupewa miwani tu.
Sasa sijui ni biashara ya miwani imepamba kasi au ni options za vipimo zimeishia hapo? Sielewi lakini hiyo imekuwa common trend.
 
tatizo madakitari wengi wa macho wanapima eye sight problem tu, japokuwa pia kuna matatizo ya kichwa yanayoletwa na eye sight problem lakini ni muhimu sana kufanya test ya presure ya macho pindi unaposikia maumizi ya macho yanayo ambatana na mishipaya kichwa ( kipanda uso), mara nyingi maumivu haya yanakuwa makali hata ukinywa dawa za maumivu hazisaidii kutuliza.
 
Ulisema kuwa ulishawahi pewa mawani ya kutumia kwa muda. Je ilikuwa na vioo vya kuchuja mwanga?

Je kazi yako inahusu kukaa kwenye mwanga mkali kwa muda mrefu( e.g Looking on computer for long time)? je kazi yako inahusu kukaa kwenye low light kwa muda mrefu? Je kazi yako inahusu ku view similar objects for long time?

Mara nyingi mabadiliko ya ghafla au ya mara kwa mara ya mwanga, au kukaa kwa muda mrefu kwenye aina moja ya mwanga kunachangia kuwa na matatizo katika mifumo ya uoni. Pia kuangalia aina moja ya rangi au object kwa muda mrefu kunachangia matatizo katika uoni. Pia macho kukaa katika focus moja kwa muda mrefu kunaweza sababisha matatizo katika uoni.

Jaribu kufanya hii simple eye test, fuata maelekezo kwa usahihi. Test your vision

MAUMIVU YAKIZIDI, MUONE DAKITARI.
 
Back
Top Bottom