Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
- #41
Ilikua inachuja mwanga ndio, na ilinisaidia nimekaa miaka kadhaa sijaumwa ila kimerudi kwa kasiUlisema kuwa ulishawahi pewa mawani ya kutumia kwa muda. Je ilikuwa na vioo vya kuchuja mwanga?
Je kazi yako inahusu kukaa kwenye mwanga mkali kwa muda mrefu( e.g Looking on computer for long time)? je kazi yako inahusu kukaa kwenye low light kwa muda mrefu? Je kazi yako inahusu ku view similar objects for long time?
Mara nyingi mabadiliko ya ghafla au ya mara kwa mara ya mwanga, au kukaa kwa muda mrefu kwenye aina moja ya mwanga kunachangia kuwa na matatizo katika mifumo ya uoni. Pia kuangalia aina moja ya rangi au object kwa muda mrefu kunachangia matatizo katika uoni. Pia macho kukaa katika focus moja kwa muda mrefu kunaweza sababisha matatizo katika uoni.
Jaribu kufanya hii simple eye test, fuata maelekezo kwa usahihi. Test your vision
MAUMIVU YAKIZIDI, MUONE DAKITARI.
hata siangalii vitu vyenye mwanga mkali wala mwanga hafifu, ni ubao na madaftari