Msaada, kuumwa kichwa (tatizo sugu)

Hili tatizo namimi linanitesa macho nimeshapima miwani hadi nmechoka sina tatizo ,Mm naisi kwa wiki siku nisizoumwa kichwa unakuta n siku mbili zimejitahidi sana tatu.

Sent from mTalk
 
Pole kwa hayo maradhi yako ya kuumwa na kichwa kwanza jichunguze je unakunywa maji ya kutosha? kapime macho yako, je unayo Stress za maisha?naje unapata usingizi w akutosha? kw ausiku huw aunalala masaa mangapi? kisha jaribu dawa yangu hii hapa chini kula punje 12 za Lozi aka Almond kila siku kichwa kitapona.Kisipo pona nitafutye labda utakuwa una pepo mchafu aka Shetani mbaya ndio anaye kusmbuwa kichwani pako.Ukihitaji matibabu toka kwangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…