La kukuongeza inawezekana unakula sana nyama nyekundu na huli mboga za majani na matunda na kunywa maji ya kutosha kama tatizo sio hilo ijue ni minyoo na kama wewe ni dume najua nguvu za kiume huna mkuu.nitafute nitakusaidia bureee kwa ishauri.
Mkuu Mimi ni mwanaume niliye kamilika..unamaana gan kusema sina nguvu za kiume.?,au kwa utaalam wako unamaanisha kua tatzo langu linausiana na upungufu wa nguvu za kiume???
Mkuu alovera nimetumia sana, lakin bado tatzo alijapona..akhsante kwa ushaur wako
Ngoja nipite kimya kimya
Wacha ujinganakushaur ungeenda mombasa kuna dawa nzur sana za asili utafanyiwa na hautaumwa tena.niPM nikudirect
nakushaur ungeenda mombasa kuna dawa nzur sana za asili utafanyiwa na hautaumwa tena.niPM nikudirect
Jamani haja kubwa kuwasha sana tatizo ni nini?Au huo ni ugonjwa gani?Mara nyingi huwa nawaona watu wanajikuna hapo mahala.