TumekuelewaAta mm nasumbuliwa nisaidie niende uko mombasa au kama ww mwenyewe una dawa nisaidie
Ata mm nasumbuliwa nisaidie niende uko mombasa au kama ww mwenyewe una dawa nisaidie
Jamani haja kubwa kuwasha sana tatizo ni nini?Au huo ni ugonjwa gani?Mara nyingi huwa nawaona watu wanajikuna hapo mahala.
Hili ni jukwaa la afya,la utani lipo kule sasa sijui anajisikiaje huyu mtu anaumwa anaambiwa mambo ya ajabu
Hiyo ni dalili ya fungal infections kwenye sehemu kuzunguka haja kubwa.Pia inaweza kuwa ni minyoo inaitwa Enterobius Vermicularis huwa inasababisha muwasho(pruritus ani)
Na kadhalika
Ata mm nasumbuliwa nisaidie niende uko mombasa au kama ww mwenyewe una dawa nisaidie
nlijamiiana na mtu sasa sijui kama ile condom ndio imeleta hivi viupele au ni mzio (alerge) maana kuna vipele naviona kwa mbaali vinakua kwny uume wangu nitumie dawa gani mkuu au tatzo ni nini?? Ze Heby
nakushaur ungeenda mombasa kuna dawa nzur sana za asili utafanyiwa na hautaumwa tena.niPM nikudirect
Mkuu kuna ugonjwa ujulikanao kama Hemorhoid!! Athari zake ni kama hizo! Ila kwa kuongezea ili kujua kama tatizo ni Hemorhoid ni wakati unapokwenda choo kikubwa utajihisi kama sehemu ya choo haitoki!! Yaani utahisi kama kuna choo kimetoka lakini hakidondoki! Na pia wakati unapotembea utajihisi kama eneo la haja kubwa lina vidonda vinavyokufanya ujihisi kichefuchefu sana,kwa ujumla unakuwa huna raha kabisa! Sasa suluhu ya muda mfupi ni pamoja na kupunguza muda unaotumia kukaa chooni,kujisafisha kwa maji baridi baada ya haja!kula matunda na mbogamboga kwa kiasi. Cha kutosha! ILA maumivu yakizidi wahi hospitali!Tunaomba kujua tiba ya ugonjwa huu, madaktari njooni mtuelezee zaidi kuhusu athari na tiba ya ugonjwa huu. Tafadhali pia mwenye uelewa wa ugonjwa huu, tunaomba atwambie.
Mmmmmh!!!!!!Bt kuna dawa zinaweza kukusaidia embu nicheck kwa hz no 0768359292 na 0652359291
Mkuu na wew imekuanza?? unawashwa tako mkuu wangu!!!!Mkuu yobolingo said ulipata tibaa? Maana nahsi imenianza na mimi