Msaada: Kuwashwa njia ya haja kubwa

Msaada: Kuwashwa njia ya haja kubwa

Ata mm nasumbuliwa nisaidie niende uko mombasa au kama ww mwenyewe una dawa nisaidie

Huna haja ya kwenda mbali ni PM tuyapange jinsi ya kukusaidia....(vigezo na masharti kuzingatiwa)
 
hakikisha maji unayotumia kutawaza ni masafi - yaani hayakaa wazi zaidi ya siku 2. Nguo za ndani nakushauri uvae za cotton. na usipemde kurudia Nguo za ndani mara kwa Mara. jaribu kwanza hiyo
 
Hili ni jukwaa la afya,la utani lipo kule sasa sijui anajisikiaje huyu mtu anaumwa anaambiwa mambo ya ajabu

Hiyo ni dalili ya fungal infections kwenye sehemu kuzunguka haja kubwa.Pia inaweza kuwa ni minyoo inaitwa Enterobius Vermicularis huwa inasababisha muwasho(pruritus ani)

Na kadhalika

nlijamiiana na mtu sasa sijui kama ile condom ndio imeleta hivi viupele au ni mzio (alerge) maana kuna vipele naviona kwa mbaali vinakua kwny uume wangu nitumie dawa gani mkuu au tatzo ni nini?? Ze Heby
 
Last edited by a moderator:
nlijamiiana na mtu sasa sijui kama ile condom ndio imeleta hivi viupele au ni mzio (alerge) maana kuna vipele naviona kwa mbaali vinakua kwny uume wangu nitumie dawa gani mkuu au tatzo ni nini?? Ze Heby

jisalimishe angaza mkuu.
 
Last edited by a moderator:
nakushaur ungeenda mombasa kuna dawa nzur sana za asili utafanyiwa na hautaumwa tena.niPM nikudirect

unaendaga kutibiwaga huko Mombasa eeh ndugu hapa mgonjwa anaomba ushauri we unaleta unyang'au wako wa kishoda shoda shwain wahed
 
Tunaomba kujua tiba ya ugonjwa huu, madaktari njooni mtuelezee zaidi kuhusu athari na tiba ya ugonjwa huu. Tafadhali pia mwenye uelewa wa ugonjwa huu, tunaomba atwambie.
 
Tunaomba kujua tiba ya ugonjwa huu, madaktari njooni mtuelezee zaidi kuhusu athari na tiba ya ugonjwa huu. Tafadhali pia mwenye uelewa wa ugonjwa huu, tunaomba atwambie.
Mkuu kuna ugonjwa ujulikanao kama Hemorhoid!! Athari zake ni kama hizo! Ila kwa kuongezea ili kujua kama tatizo ni Hemorhoid ni wakati unapokwenda choo kikubwa utajihisi kama sehemu ya choo haitoki!! Yaani utahisi kama kuna choo kimetoka lakini hakidondoki! Na pia wakati unapotembea utajihisi kama eneo la haja kubwa lina vidonda vinavyokufanya ujihisi kichefuchefu sana,kwa ujumla unakuwa huna raha kabisa! Sasa suluhu ya muda mfupi ni pamoja na kupunguza muda unaotumia kukaa chooni,kujisafisha kwa maji baridi baada ya haja!kula matunda na mbogamboga kwa kiasi. Cha kutosha! ILA maumivu yakizidi wahi hospitali!
 
Madaktar hebu tusaidieni hili tatizo jamen, yaaan mimi nikitoka chooni, nikikaa haina shida ila nikianza movements yaaan nakuwa nawashwa sana. Nimetumia dawa kibao lakini bado naona tatizo lipo, nini solution?
 
Back
Top Bottom