Msaada kwa anaefahamu vigezo vya kushiriki kombe la shirikisho

Waliofeli ligi ya mabingwa ndiyo wamesukumiziwa huko ligi ya vibonde

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Inabidi uwe kibonde tu,timu zoote ndogo ziko huko zinaruka ruka
 
Hapa utatafuta kuonekana popoma usie na akili kisa unataka kujua mfano mimi siko yanga wala simba ila nikiuliza mbona yanga na simba wako michuano tofauti naanza kuonekana mimi simba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe naweza nikawa nashabikia hata namungo au mbao fc πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au sishabikii mpira kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…