Msaada kwa anaefahamu vigezo vya kushiriki kombe la shirikisho

Msaada kwa anaefahamu vigezo vya kushiriki kombe la shirikisho

Salaam wakuu.

Mimi nilikuwa Nanjilinji kulima ufuta ila wakati natoka niliicha Yanga ipo klabu bingwa sasa jana wakati naangalia ratiba ya klabu binga nikastaa timu yangu pendwa MMBWA FC Sioni baada kuuliza nikaarifiwa kuwa inashiriki kombe la shirikisho kwa hiyo nilikuwa naomba kwa anaefahamu vigezo vya kushiriki hilo kombe ya mbuzi kwa anaefahamu.
Waliofeli ligi ya mabingwa ndiyo wamesukumiziwa huko ligi ya vibonde

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Inabidi uwe kibonde tu,timu zoote ndogo ziko huko zinaruka ruka
 
Hapa utatafuta kuonekana popoma usie na akili kisa unataka kujua mfano mimi siko yanga wala simba ila nikiuliza mbona yanga na simba wako michuano tofauti naanza kuonekana mimi simba 😂😂😂 kumbe naweza nikawa nashabikia hata namungo au mbao fc 😂😂😂😂 au sishabikii mpira kabisa
 
Back
Top Bottom