Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Umegunduaje kama siyo jibu? Au unauliza swali, huku ukiwa na jibu lako mkononi?Hili ndio jibu la swali nililouliza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umegunduaje kama siyo jibu? Au unauliza swali, huku ukiwa na jibu lako mkononi?Hili ndio jibu la swali nililouliza?
mkuu mbona unajizima data? Mimi nimeuliza vigezo vya kushiriki kombe la shirikisho wewe unasema rage hakukosea sasa hilo ndio jibu?Umegunduaje kama siyo jibu? Au unauliza swali, huku ukiwa na jibu lako mkononi?
Changia matofali ujenzi wa uwanja wa Kaunda.... niko tayari kuchangia chochote kwenye ujenzi wake.
Waliofeli ligi ya mabingwa ndiyo wamesukumiziwa huko ligi ya vibondeSalaam wakuu.
Mimi nilikuwa Nanjilinji kulima ufuta ila wakati natoka niliicha Yanga ipo klabu bingwa sasa jana wakati naangalia ratiba ya klabu binga nikastaa timu yangu pendwa MMBWA FC Sioni baada kuuliza nikaarifiwa kuwa inashiriki kombe la shirikisho kwa hiyo nilikuwa naomba kwa anaefahamu vigezo vya kushiriki hilo kombe ya mbuzi kwa anaefahamu.
Hana akili ya kujibia swaliHujajibu swali.
Huyo tutusa hamna kitu kichwani msamehe bureHili ndio jibu la swali nililouliza?
Mwache hana akili huyo kibuyumkuu mbona unajizima data? Mimi nimeuliza vigezo vya kushiriki kombe la shirikisho wewe unasema rage hakukosea sasa hilo ndio jibu?
Ukianza ule wa Kigamboni, nitachangia. Ila kwa sasa tuungane kumuenzi mwenyekiti wetu mstaafu.Changia matofali ujenzi wa uwanja wa Kaunda
Libakie basi kuwa jibu. Au unaonaje?mkuu mbona unajizima data? Mimi nimeuliza vigezo vya kushiriki kombe la shirikisho wewe unasema rage hakukosea sasa hilo ndio jibu?
kama uonavyo wewe.Libakie basi kuwa jibu. Au unaonaje?
Nashukuru na nimeridhika na jibu lako.Waliofeli ligi ya mabingwa ndiyo wamesukumiziwa huko ligi ya vibonde
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Hawezi kukujibu Maana anaona aibu kusema ni kombe la waliofelimkuu mbona unajizima data? Mimi nimeuliza vigezo vya kushiriki kombe la shirikisho wewe unasema rage hakukosea sasa hilo ndio jibu?
Mkuu usione aibu kusema ni kombe la waliofeli .Rage anatakiwa kujengewa sanamu yake akiwa hai. Mimi niko tayari kuchangia chochote kwenye ujenzi wake.
Kwa hiyo ni kombe la wachawiSi ndio huku mlishikwa uchawi?
Mkuu Lawamakwetucheo sikia anasema kombe la wachawiSi ndio huku mlishikwa uchawi?
Wape na mbegu kabisa hao loosersMimi pia nipo tayari kuwapa heka 7 za mihogo