kadebe rwekiti
Member
- Apr 8, 2017
- 48
- 19
Ninapima maabara za TMJ na Tumaini hospital.kuhusu mazingira hygene,na lifestle iko vizuri sana.jambo la ajabu hata ukinywa dawa baada ya kumaliza dozi ukipima unakuta wapo.yani kifupi hawarespond kwenye dawa nazotumia.Mmmmh cjawahi ckia kuna ascaris lumblicoides sugu. Dawa ni za kawaida kabisa, wasi wangu ni je hyo maabara unayopimia ina wataalam mahiri? Na vp mazingira yako unayoishi hayakufanyi upate maambukizi ya hao ascaris repeatedly?
nilishakula mebendazole mwezi, lakini haikutoka.Jaribu kula mebendazole kwa wiki mara 1 kwa muda wa wiki nne mfululizo
Mkuu najua dawa ya kienyegi haizidi hata Tshs 4000 na unapona kabisa .Hata mimi nilikuwa na hiyo minyoo mpaka unaisika inakuja mpaka hapo kwenye nnya na kutaga mayai na kurudi ndani kwenye tumbo ,i is one week treatment , believe me or not .Would you give me a Pm please.
Unapojua kitu cha kusaidia jamii huna haja ya PMMkuu najua dawa ya kienyegi haizidi hata Tshs 4000 na unapona kabisa .Hata mimi nilikuwa na hiyo minyoo mpaka unaisika inakuja mpaka hapo kwenye nnya na kutaga mayai na kurudi ndani kwenye tumbo ,i is one week treatment , believe me or not .Would you give me a Pm please.
nilishakula mebendazole mwezi, lakini haikutoka.
The only latest way.... Kafanye upasuaji waitoe hiyo minyoo
hizo zote nilishatumia hazikufua dafu.Basi tafuta "ivermectin au piperazine"
Kula mojawapo hapo inaweza ikakutibu zote ni za minyoo
hizo zote nilishatumia hazikufua dafu.
Ninapima maabara za TMJ na Tumaini hospital.kuhusu mazingira hygene,na lifestle iko vizuri sana.jambo la ajabu hata ukinywa dawa baada ya kumaliza dozi ukipima unakuta wapo.yani kifupi hawarespond kwenye dawa nazotumia.
Zungumza na dr kwa ajili ya kukufanyia culture. Wanachukua sampuli ya kinyesi chako, wanaotesha kwenye media yenye aina tafauti za dawa na kuangalia upande upi watakufa sana.
Pole. Nafikiria uko katika hali gani, dah