Msaada: Kwa anayeijua dawa ya ascaris sugu

Joined
Apr 8, 2017
Posts
48
Reaction score
19
Watu wa Mungu,

Ninasumbuliwa na ascaris lumbricode kwa miaka 7. Nimetumia aina nyingi za dawa za dukani na mitishamba lakini kila u napomaliza dozi nikipima minyoo iko palepale.

Nimeonana na madactari bingwa lakini imeshindikana. Na sasa sina cha kufanya, afya inadhoofu, naomba kwa yeyote anayejua dawa kiboko ya kuua hawa wadudu anisaidie.
 
Mmmmh cjawahi ckia kuna ascaris lumblicoides sugu. Dawa ni za kawaida kabisa, wasi wangu ni je hyo maabara unayopimia ina wataalam mahiri? Na vp mazingira yako unayoishi hayakufanyi upate maambukizi ya hao ascaris repeatedly?
 
Ninapima maabara za TMJ na Tumaini hospital.kuhusu mazingira hygene,na lifestle iko vizuri sana.jambo la ajabu hata ukinywa dawa baada ya kumaliza dozi ukipima unakuta wapo.yani kifupi hawarespond kwenye dawa nazotumia.
 
Mmmmh pole aisee lugha imeniishia kabisa, ila endelea kuwatafuta Ma-Dr's waliobobea watakusaidia tu usikate tamaa!
 
Mkuu najua dawa ya kienyegi haizidi hata Tshs 4000 na unapona kabisa .Hata mimi nilikuwa na hiyo minyoo mpaka unaisika inakuja mpaka hapo kwenye nnya na kutaga mayai na kurudi ndani kwenye tumbo ,i is one week treatment , believe me or not .Would you give me a Pm please.
 
KITU KIZURI CHA KUSAIDIA JAMII......WEKA HADHARANI........
 
Dah mie pia nina tatizo hili hadi nimeona sasa basi unapata dawa baada ya wiki mashambulizi yanaanza
 
Mkuu najua dawa ya kienyegi haizidi hata Tshs 4000 na unapona kabisa .Hata mimi nilikuwa na hiyo minyoo mpaka unaisika inakuja mpaka hapo kwenye nnya na kutaga mayai na kurudi ndani kwenye tumbo ,i is one week treatment , believe me or not .Would you give me a Pm please.
Unapojua kitu cha kusaidia jamii huna haja ya PM
 
Ukizikosa hizo juu tafufa netazox (nitazoxanide).... Hii rahisi kuipata pharmacy
 
Umejaribu kutumia mizizi ya mgagani (mboga fulani hivi chungu).
Ponda mizizi uchemshe unywe na nyingine utie kwenye njia ya haja kubwa.
Watoto wadogo hufanyiwa hiyo dawa na akina bibi
 
Zungumza na dr kwa ajili ya kukufanyia culture. Wanachukua sampuli ya kinyesi chako, wanaotesha kwenye media yenye aina tafauti za dawa na kuangalia upande upi watakufa sana.

Pole. Nafikiria uko katika hali gani, dah
Ninapima maabara za TMJ na Tumaini hospital.kuhusu mazingira hygene,na lifestle iko vizuri sana.jambo la ajabu hata ukinywa dawa baada ya kumaliza dozi ukipima unakuta wapo.yani kifupi hawarespond kwenye dawa nazotumia.
 
Zungumza na dr kwa ajili ya kukufanyia culture. Wanachukua sampuli ya kinyesi chako, wanaotesha kwenye media yenye aina tafauti za dawa na kuangalia upande upi watakufa sana.

Pole. Nafikiria uko katika hali gani, dah

Ahhahah[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2]
Culture and sensitivity ni kwa bacteria infection only
This man is suffering from helminthic/parasitic/worm infection
 
Back
Top Bottom