Msweet
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 3,135
- 4,306
Labda ni swala la kiroho zaidi.....!!!Ninapima maabara za TMJ na Tumaini hospital.kuhusu mazingira hygene,na lifestle iko vizuri sana.jambo la ajabu hata ukinywa dawa baada ya kumaliza dozi ukipima unakuta wapo.yani kifupi hawarespond kwenye dawa nazotumia.