Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Wadau salama? Naomba kwa mtu anayejua hizi Paid Social Media ajaribu kutoa ufafanuzi hapa maana nimefuatwa na raia ananihamasisha kwamba kuna hizo jobs ambazo unazifanya remotely! Na wewe unaendelea na mambo yako mengine huku unapiga mpunga! Lakini kuna kiingilio kwanza cha kama U$ 30 hivi! Najua hapa kuna wale wanajifanyaga kujua kila kitu kama Mh. Supika mtenguliwa watakuja na mabezo yao nitawapotezea, mimi nataka wale wenye ufahamu wa kiutu uzima ndiyo wachangie!! Asanteni sana!