Wacha huo UJINGA, ni Kam ulevi tu.. Kubeti na uvivu mwingine... Watu wake wa hovyo hovyo, na wengi utwakuta hawatak kujishuhulisha kisa wametoka chuoWadau salama? Naomba kwa mtu anayejua hizi Paid Social Media ajaribu kutoa ufafanuzi hapa maana nimefuatwa na raia ananihamasisha kwamba kuna hizo jobs ambazo unazifanya remotely! Na wewe unaendelea na mambo yako mengine huku unapiga mpunga! Lakini kuna kiingilio kwanza cha kama U$ 30 hivi! Najua hapa kuna wale wanajifanyaga kujua kila kitu kama Mh. Supika mtenguliwa watakuja na mabezo yao nitawapotezea, mimi nataka wale wenye ufahamu wa kiutu uzima ndiyo wachangie!! Asanteni sana!
Inategemea mkuu, CCM wamenichanganya, tusameheaneKwani mkuu ungeeleza tu bila kutumia neno "UJINGA" Usingeeleweka?
Huyu mtoto w mzee wa msoga kapitaje [emoji41][emoji41] nashangaa mkuu mjomba angu wananmnyima haki "ardhi" wakat alikuw anapokea mpka sim za wananchiWamekufanyaje tena hao CCM? Kwani ulikuwa unategemea kiti kwenye uteyuzi? Kuwa mpole tu chama kiko kwa wenyewe sasa hivi!
Eti kiingilio usd 30Wadau salama? Naomba kwa mtu anayejua hizi Paid Social Media ajaribu kutoa ufafanuzi hapa maana nimefuatwa na raia ananihamasisha kwamba kuna hizo jobs ambazo unazifanya remotely! Na wewe unaendelea na mambo yako mengine huku unapiga mpunga! Lakini kuna kiingilio kwanza cha kama U$ 30 hivi! Najua hapa kuna wale wanajifanyaga kujua kila kitu kama Mh. Supika mtenguliwa watakuja na mabezo yao nitawapotezea, mimi nataka wale wenye ufahamu wa kiutu uzima ndiyo wachangie!! Asanteni sana!
Mkubwa lengo kuu la hizo kazi ni hiyo $30kiingilio kwanza cha kama U$ 30 hivi! Najua
Hebu gugu (in Makala's Voice) hii kazi "Part Time Work From Home Data Entry And Online" unaweza kuweka na neno UNIDO Administrative Assistant Jobs JobsHebu leta link ya hizo kazi kwanza!
Wajuzi watasema kama ni scam au lah!!
Maana zipo za kweli, ila mchakato wake si mrahisi kama wengi wanavyodhani!!!