deliverance man
Member
- Jul 14, 2019
- 21
- 7
Ni kuomba Mungu tu lakini batch zinakuwaga nyingi na muhimu kuwa mvumilivu tu, mwaka jana walitoa mpaka batch ya 8 na pia ukikosa unaweza ukaappeal na ukabahatisha kupataJamani kwa anaejua labda, kama kuna Third Batch ya mikopo kutoka HESLB maana naona hakuna taarifa yoyote.
Kama unajua lolote naomba tujuzane inatoka lini?
2nd tangu juzi mbonakwani wewe unaulizia third batch kwani hiyo second batch imetoka lini??
dr badru hajasema bado angeshaniambia niitishe pressJamani kwa anaejua labda, kama kuna Third Batch ya mikopo kutoka HESLB maana naona hakuna taarifa yoyote.
Kama unajua lolote naomba tujuzane inatoka lini?
Kwa hyo ww upo pale bodi? Vipi kwa hyo hakuna matumaini ya kuwa na third batch.dr badru hajasema bado angeshaniambia niitishe press
lakini sahizi wako kimya kabisa hawasemi lolote.Ni kuomba Mungu tu lakini batch zinakuwaga nyingi na muhimu kua mvumilivu tu, mwaka jana walitoa mpaka batch ya 8 na pia ukikosa unaweza ukaappeal na ukabahatisha kupata
Mkuu najua umepata hongera.Nenda kwe profile yako third batch tayari
Mkuu i didnt secured it. lakin status haijabadilika inasema hivi;you have not secured loan in batch one and two. waliopata status imebadilikaMkuu najua umepata hongera.
Mkuu i didnt secured it. lakin status haijabadilika inasema hivi;you have not secured loan in batch one and two. waliopata status imebadilika
Sikilizia maybe wana feed.
Hapo inatakiwa ujiñyee mavi mkuuWakuu ,vp kwa wale ambao hatujaomba mkopo inakuwaje hapo ??
Nonsense!baada ya muda bodi huacha kutuma majina ya mkopo kwrnye mtandao, majina hayo upelekwa moja kwa moja chuo mwanafunzi alipochaguliwa na sio tena kwenye website ya bodi , nakushauri nenda chuo kwani huko ndio unaweza kifuatilia.