Msaada kwa anayejua kuhusu Third Batch ya mkopo wa HESLB

Msaada kwa anayejua kuhusu Third Batch ya mkopo wa HESLB

Jamani kwa anaejua labda, kama kuna Third Batch ya mikopo kutoka HESLB maana naona hakuna taarifa yoyote.

Kama unajua lolote naomba tujuzane inatoka lini?
Ni kuomba Mungu tu lakini batch zinakuwaga nyingi na muhimu kuwa mvumilivu tu, mwaka jana walitoa mpaka batch ya 8 na pia ukikosa unaweza ukaappeal na ukabahatisha kupata
 
Bado kama majina elfu 3 na kadhaa ukoo maana walisema mwaka huu watatoa kwa watu 45 elfu lakini bado hawajafikia idadi hiyo.

Muhimu ni kuwa mpole mkuu nakusubiria hizo batch mimi mwaka jana sikupata batch zote hivo sikuweza kwenda chuo kabisa mwaka huu ndio ninaenda nimepata batch ya pili.

Muhimu nikuomba Mungu mkuu ata kama una vigezo.muda mwingine ni bahati mkuu.
 
Asee Kama hakun taarifa yyte yan inawezekan kutoka batch chache sana koz mwaka jana walikuw wanatoa taarifa kabsa kama ya pili ikitoka then ya tatu walitoa taarfa
 
baada ya muda bodi huacha kutuma majina ya mkopo kwrnye mtandao, majina hayo upelekwa moja kwa moja chuo mwanafunzi alipochaguliwa na sio tena kwenye website ya bodi , nakushauri nenda chuo kwani huko ndio unaweza kifuatilia.
 
Ni kuomba Mungu tu lakini batch zinakuwaga nyingi na muhimu kua mvumilivu tu, mwaka jana walitoa mpaka batch ya 8 na pia ukikosa unaweza ukaappeal na ukabahatisha kupata
lakini sahizi wako kimya kabisa hawasemi lolote.
 
Nenda kwe profile yako third batch tayari
 
Wakuu ,vp kwa wale ambao hatujaomba mkopo inakuwaje hapo ??
 
Safari hii wote mlio omba mkopo mtapata tu tofauti na miaka ya nyuma, maana serikali imeongeza na kutenga kiasi kikubwa cha pesa tofauti na mwaka jana. Toeni shaka mambo ya serikali yanakwenda ki protocols kikubwa ni kuwa na subira wote mtapewa mkopo
Mana mkopo huo ni kodi yetu sote wa Tz!
N.b:
Ila mkumbuke fadhira kurudisha mkimaliza chuo na wadogo zenu wasome!
 
baada ya muda bodi huacha kutuma majina ya mkopo kwrnye mtandao, majina hayo upelekwa moja kwa moja chuo mwanafunzi alipochaguliwa na sio tena kwenye website ya bodi , nakushauri nenda chuo kwani huko ndio unaweza kifuatilia.
Nonsense!
Yaani mtoto wa masikini afunge safari toka Lindi hadi Mwanza chuoni, aangalie kama amepata mkopo kisha hakose huo mkopo na afunge safari tena kurudi Lindi!
 
Back
Top Bottom