Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora kile kuliko huyuMkuu masafa malefu kwenda huitaji gari hata kwa miguu unaenda tu,zamani zile watu walisafiri kwa miguu toka Bagamoyo hadi kigoma
Post sent using JamiiForums mobile app
Spidi hyo sio kwa barabara za bongo,itakuua soon!polo vokswagen,speed 260 bonge moja ya gari
Mimi nafanyaga sana safari za Dar -Moro-Dom,mwanzo nilikuwa natumia IST yenye CC 1496 ilikuwa inasafiri bila tatizo lolote kwenda Dar na kurudi Dom baadae nikauza IST nikanunua Toyota Succeed yenye CC 1496 coz ina space kubwa ya kubeba mzigo!Pia hii nayo iko poa sana,naweka mafuta ya sh elfu 70,000(lita ni zaidi ya sh 2000) Dar-Dom na mafuta mengine yanabaki nafanya mizunguko miwili mitatu!Hivyo nimekupa uzoefu wangu mkuu na gari nilizotumiaJamani naomba msaada kwa mtu yeyote anaejua vizuri hizi gari ndogo ni ipi ambayo inafaa kwa kuwa na uwezo wa kwenda masafa marefu kama safari za mikoani bila tatizo lolote na kwa mafuta iwe inatumia vyema?
sawa sawa cc1496 inahimili mikikiMimi nafanyaga sana safari za Dar -Moro-Dom,mwanzo nilikuwa natumia IST yenye CC 1496 ilikuwa inasafiri bila tatizo lolote kwenda Dar na kurudi Dom baadae nikauza IST nikanunua Toyota Succeed yenye CC 1496 coz ina space kubwa ya kubeba mzigo!Pia hii nayo iko poa sana,naweka mafuta ya sh elfu 70,000(lita ni zaidi ya sh 2000) Dar-Dom na mafuta mengine yanabaki nafanya mizunguko miwili mitatu!Hivyo nimekupa uzoefu wangu mkuu na gari nilizotumia
Sikiliza Toka Kwangu!