Msaada: Kwa anayezijua gari ndogo, ni ipi ina uwezo wa kwenda masafa marefu?

Msaada: Kwa anayezijua gari ndogo, ni ipi ina uwezo wa kwenda masafa marefu?

Gari yoyote inahimili masafa marefu ..cha msingi iwenzima.. Kama ni mbovu hata iwe V8 haiwezi shindwa fika hata kimara tokoea mbezi.. Unless useme factors nyingine kama stability barabarani ila si kwa umbali wa kusafiri..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli alisema barabara zimeimalika unatembea kwa bajaji from mtwara to bukoba hakuna shida
 
Mark x, GX 110, Brevis, Allion, Altezza na Premio new model. Hutaonekana mnyonge barabarani
 
kama unaweza kupata Toyota corolla 1.6 it will never let u down,ni rahisi kuitunza,utumiaji wake wa mafuta ni mzuri sana,mie nimeshawahi kuitumia kukatisha nchi kwa zaidi ya 8700km,bila shida na ukitaka angalia link hii my African Conquest.com,utaona uwezo wa hizi gari za Toyota ni one lady of over 80yrs with a Toyota of 20yrs old driving to UK from Cape town,she just pass Dar few days ago,she was at kipepeo resort.go for Toyota my brother.
 
Suzuki Every (Jamii ya Carry) ambayo ni CC 650
120 SPEED, ni murua Kabisa, 1 litre =12km kawaida na 1litre=14-16km safari Mdemu (Highway)
From Dar to Morogoro, Dodoma, Moshi, Singida, Arusha, Tabora, Shinyanga, Mwanza, etc bila shida
Ni gari Amazing, nje ina sura isiyovutia ila ni murua
Ni Imara, rafiki na ina Nafasi ya kutosha Kwanini wale wa mambo yaleeeeee
 
kama unaweza kupata Toyota corolla 1.6 it will never let u down,ni rahisi kuitunza,utumiaji wake wa mafuta ni mzuri sana,mie nimeshawahi kuitumia kukatisha nchi kwa zaidi ya 8700km,bila shida na ukitaka angalia link hii my African Conquest.com,utaona uwezo wa hizi gari za Toyota ni one lady of over 80yrs with a Toyota of 20yrs old driving to UK from Cape town,she just pass Dar few days ago,she was at kipepeo resort.go for Toyota my brother.
Ahsante sna kwa kweli ubarikiwe
 
Back
Top Bottom