Msaada: Kwa anayezijua gari ndogo, ni ipi ina uwezo wa kwenda masafa marefu?

Msaada: Kwa anayezijua gari ndogo, ni ipi ina uwezo wa kwenda masafa marefu?

nimetumia mitsubishi pajero io 1990cc 4WD DAR/MZA/DAR jumla 2350km kwa litre 205 (yaani kwa wastani 1litre 11.5 km). nimetumia toyota wish 1790cc 2003 model DAR/MZA 1175km kwa liter 80 km (wastani 14km/litre).
 
Back
Top Bottom