Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Sifa mojawapo ya kusoma hge ni uwe umefaulu maths, So....sijui!
Mimi nililamba F ya math ila nilisoma HGE,Advance BAM NKAPATA TENA MSWAKI CHUO NIKACHAGULIWA BA IN ECONOMICS ,NIKAKIMBIA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa mojawapo ya kusoma hge ni uwe umefaulu maths, So....sijui!
BAM ni balaa kwako,...huwezi HGE
Sifa mojawapo ya kusoma hge ni uwe umefaulu maths, So....sijui!
Economics ina hesabu nyingi. kwa A level unaweza kusoma bila shida. Lakini kama utapenda kuendelea nayo ktk level ya chuo kikuu baadaye itakulazimu upende hesabu, ama sivyo utateseka sana.
ndugu medzo kama unaipenda hesab ila ulifeli bahati mbaya, soma hge, ila kama hesabu ni ya kubahatisha usisome hge. Mimi mwenyewe nilisoma hge advance(gov't) ila math nilipata d O level (prvt) ila ni sababu tu tulikuwa na mwalim wa math 4m3 na 4m4, aliyekuwa anatukung'uta had zikakubali kwa lazma. Ila nilipomaliza 4m6 nilipata mswaki wangu wa bam kiroho safi kwani nilikuwa silipendi ilo somo. Ila mwisho iyo d ilikuja kunisaidia sana nilipochaguliwa chuo.
History
Geography
English
Sasa bwana mdogo Mathematics inaingiaje hapo?
Mimi nililamba F ya math ila nilisoma HGE,Advance BAM NKAPATA TENA MSWAKI CHUO NIKACHAGULIWA BA IN ECONOMICS ,NIKAKIMBIA.
History
Geography
English
Sasa bwana mdogo Mathematics inaingiaje hapo?
msimcheke jaman..ata mm nlivokuwa o'level nlikuwa najua e ni english..kak nenda kasome ila inabidi ukomae na BAM upate ata prncpal,la cvyo chuo utasomea course za social science ambazo bora ungeend ata hkl..
Samahani wakuu mim ni kijana niliye maliza form 4 mwaka jana 2013, sasa ninaipenda comb ya HGE napenda sana kusomea uchumi
Sasa kulingana na matokeo yangu Mathematics nimepata F, vp ninaweza kusoma comb hiyo..?
BAM yenyewe ni kama GS tu ina F na S hata ukipata 100 au 48 unawekewa S tu. Akomae tu mbona wengine tuliing'ang'ania hivyohivyo though kuna Calculus ataikuta huko kwenye BAM hiyo topic ni shidaaa kwa tusiojua maths ila uzuri iko section A hesabu ukikomaa na section B tu mbona una S tayari.
Kama utapata shule itakayokukubali usome huo mchepuo nenda kasome. Sasa kama ulivyoelezwa kuna BAM huko na watu huu.
Kama ni kweli ulipata F ya namba bahati mbaya wewe mwenyewe wajua. Sasa zingatia haya yafutayo
1.Utatakiwa unapoingia shule lengo lako liwe ni kupata daraja la 1.3 na si vinginevyo
2.Hakikisha haupati chini ya daraja C katika somo la Historia na Jiografia tangu unaaingia A-level hadi mtihani wako wa mwisho wa NECTA
3.Komaa sana na somo la uchumi pia ila History na Geo iwe uti wa mgongo wako siku zote. Haya masomo yatakusaidia sana coz umeshakua na udhaifu katika Hesabu.
4.Usionyeshe udhaifu uwapo darasani hasa kuwa makini na watu watakaoweza kukuvuruga usiwe makini na malengo yako.
Mimi nasema hili linawezekana kwa sababu niliishi chumba kimoja A-level miaka 2 na jamaa aliyekua na tatizo kama lako la Hesabu na akarudisha nyumbani daraja la kwanza na point 9.
Wengi wanafanya vizuri katika historia na geo kwa hiyo zingatia sana.
Wapo wenye mifano mingi positive watakuja hapa kukusaidia.
Kila lakheri
BAM yenyewe ni kama GS tu ina F na S hata ukipata 100 au 48 unawekewa S tu. Akomae tu mbona wengine tuliing'ang'ania hivyohivyo though kuna Calculus ataikuta huko kwenye BAM hiyo topic ni shidaaa kwa tusiojua maths ila uzuri iko section A hesabu ukikomaa na section B tu mbona una S tayari.
Tehtehteh nikitaka kushangaa chuo usome pure economics kulivyokuwa na mihesabu ya qualitative kule ni balaa. Lol!