Msaada kwa comb ya HGE

Msaada kwa comb ya HGE

ndugu medzo kama unaipenda hesab ila ulifeli bahati mbaya, soma hge, ila kama hesabu ni ya kubahatisha usisome hge. Mimi mwenyewe nilisoma hge advance(gov't) ila math nilipata d O level (prvt) ila ni sababu tu tulikuwa na mwalim wa math 4m3 na 4m4, aliyekuwa anatukung'uta had zikakubali kwa lazma. Ila nilipomaliza 4m6 nilipata mswaki wangu wa bam kiroho safi kwani nilikuwa silipendi ilo somo. Ila mwisho iyo d ilikuja kunisaidia sana nilipochaguliwa chuo.
 
Ushauri wangu soma hgk kama umefaulu kisw au hgl kama umefaulu english language

Nashkuru kwa ushauri wako laka! Lakini waweza niambia ni kwanini umenishauri nisome hgk au hgl. ?? Ufafanuz tafadhali
 
Economics ina hesabu nyingi. kwa A level unaweza kusoma bila shida. Lakini kama utapenda kuendelea nayo ktk level ya chuo kikuu baadaye itakulazimu upende hesabu, ama sivyo utateseka sana.

Asante kaka! Kiukweli napenda sana hesabu, sema ndo hivyo wakati mwingine inatokea kama Ajali tu! Ko unanishaur vp kaka
 
Unaweza ukasoma,..ila develop mapenzi na hesabu,mana hutaachana nayo,ipo BAM,chuo uende Bcom au economics lazima pia ukutane nazo
 
ndugu medzo kama unaipenda hesab ila ulifeli bahati mbaya, soma hge, ila kama hesabu ni ya kubahatisha usisome hge. Mimi mwenyewe nilisoma hge advance(gov't) ila math nilipata d O level (prvt) ila ni sababu tu tulikuwa na mwalim wa math 4m3 na 4m4, aliyekuwa anatukung'uta had zikakubali kwa lazma. Ila nilipomaliza 4m6 nilipata mswaki wangu wa bam kiroho safi kwani nilikuwa silipendi ilo somo. Ila mwisho iyo d ilikuja kunisaidia sana nilipochaguliwa chuo.

Hongera sana kaka! Ko wew unanishaur vp hapo
 
labda uende private;but government hawatakuchagua hyo combination.
 
History
Geography
English
Sasa bwana mdogo Mathematics inaingiaje hapo?

Mmmh ndugu umeamua kutania au uko serious kwanza A level hakuna somo linaitwa English kuna language na halipo kwenye hiyo comb.

HGE ni History,Geography na Economics na ukisoma somo lolote la Economics ni lazima usome Mathematics linaitwa BAM.
 
Mimi nililamba F ya math ila nilisoma HGE,Advance BAM NKAPATA TENA MSWAKI CHUO NIKACHAGULIWA BA IN ECONOMICS ,NIKAKIMBIA.

Tehtehteh nikitaka kushangaa chuo usome pure economics kulivyokuwa na mihesabu ya qualitative kule ni balaa. Lol!
 
msimcheke jaman..ata mm nlivokuwa o'level nlikuwa najua e ni english..kak nenda kasome ila inabidi ukomae na BAM upate ata prncpal,la cvyo chuo utasomea course za social science ambazo bora ungeend ata hkl..
 
BAM yenyewe ni kama GS tu ina F na S hata ukipata 100 au 48 unawekewa S tu. Akomae tu mbona wengine tuliing'ang'ania hivyohivyo though kuna Calculus ataikuta huko kwenye BAM hiyo topic ni shidaaa kwa tusiojua maths ila uzuri iko section A hesabu ukikomaa na section B tu mbona una S tayari.
 
Samahani wakuu mim ni kijana niliye maliza form 4 mwaka jana 2013, sasa ninaipenda comb ya HGE napenda sana kusomea uchumi
Sasa kulingana na matokeo yangu Mathematics nimepata F, vp ninaweza kusoma comb hiyo..?

Kama utapata shule itakayokukubali usome huo mchepuo nenda kasome. Sasa kama ulivyoelezwa kuna BAM huko na watu huu.

Kama ni kweli ulipata F ya namba bahati mbaya wewe mwenyewe wajua. Sasa zingatia haya yafutayo

1.Utatakiwa unapoingia shule lengo lako liwe ni kupata daraja la 1.3 na si vinginevyo

2.Hakikisha haupati chini ya daraja C katika somo la Historia na Jiografia tangu unaaingia A-level hadi mtihani wako wa mwisho wa NECTA

3.Komaa sana na somo la uchumi pia ila History na Geo iwe uti wa mgongo wako siku zote. Haya masomo yatakusaidia sana coz umeshakua na udhaifu katika Hesabu.

4.Usionyeshe udhaifu uwapo darasani hasa kuwa makini na watu watakaoweza kukuvuruga usiwe makini na malengo yako.

Mimi nasema hili linawezekana kwa sababu niliishi chumba kimoja A-level miaka 2 na jamaa aliyekua na tatizo kama lako la Hesabu na akarudisha nyumbani daraja la kwanza na point 9.
Wengi wanafanya vizuri katika historia na geo kwa hiyo zingatia sana.

Wapo wenye mifano mingi positive watakuja hapa kukusaidia.

Kila lakheri
 
BAM yenyewe ni kama GS tu ina F na S hata ukipata 100 au 48 unawekewa S tu. Akomae tu mbona wengine tuliing'ang'ania hivyohivyo though kuna Calculus ataikuta huko kwenye BAM hiyo topic ni shidaaa kwa tusiojua maths ila uzuri iko section A hesabu ukikomaa na section B tu mbona una S tayari.

Safi sana,uko na mawazo chanya nimekukubali.

Hii inatia moyo sana
 
Duh! Asante sana kaka nahis umenipanua kimawazo. Thnx sana
 
BAM yenyewe ni kama GS tu ina F na S hata ukipata 100 au 48 unawekewa S tu. Akomae tu mbona wengine tuliing'ang'ania hivyohivyo though kuna Calculus ataikuta huko kwenye BAM hiyo topic ni shidaaa kwa tusiojua maths ila uzuri iko section A hesabu ukikomaa na section B tu mbona una S tayari.

Asante sana dada angu kwa kunitia moyo! Mungu akutangulie
 
Back
Top Bottom