Msaada: Kwa dalili hizi kwenye uume nitakuwa naumwa nini?

Msaada: Kwa dalili hizi kwenye uume nitakuwa naumwa nini?

Status
Not open for further replies.

Ingoko

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
4,081
Reaction score
6,367
Habari za wakati za mchana huu ndugu zangu na hope mko katika mihangaiko yenu ya kutwa nzima

Nina jambo langu ndugu zangu week kama ya pili inaanza leo viungo vyangu vya kiume sijui ni UTI AU kitu Gani, dalili ni hizi napata kunaungua, muda mwingine kama Kuna viwembe ndani kama vinakata, pia muda muwasho ndani ya muwasho naskilizia, tu naona muda nakuwa sawa muda vinaamka

Nakunywa maji ili nione Hali itakuwaje pia kingine sijashiriki siku nyingi Nina mtu mmoja jinsi ya kike Mimi kiasi sio mtu wa kurukaruka sijui huko mara huko nimetulia nae tu nae hayupo kwa Sasa, pia kupima Sina fedha ya vipimo Wala ya dawa.
 
Mkuu kuwa serious basi. Mbunyeto umeipelekea moto peke yako bila kutushirikisha huku ukifurahi na kujisifu kuwa wewe ni kidume. Halafu Leo umepata mavuno yako ndiyo unataka kutushirikisha. Tafuta hela ukajitibu.
 
Habari za wakati za mchana huu ndugu zangu na hope mko katika mihangaiko yenu ya kutwa nzima

Nina jambo langu ndugu zangu week kama ya pili inaanza leo viungo vyangu vya kiume sijui ni UTI AU kitu Gani, dalili ni hizi napata kunaungua, muda mwingine kama Kuna viwembe ndani kama vinakata, pia muda muwasho ndani ya muwasho naskilizia, tu naona muda nakuwa sawa muda vinaamka

Nakunywa maji ili nione Hali itakuwaje pia kingine sijashiriki siku nyingi Nina mtu mmoja jinsi ya kike Mimi kiasi sio mtu wa kurukaruka sijui huko mara huko nimetulia nae tu nae hayupo kwa Sasa, pia kupima Sina fedha ya vipimo Wala ya dawa
Unaumwa UTI.. Hakuna haja ya kwenda hata kupima.. Nenda pharmacy kanunue AZUMA
 
AZUMA pekee ndio mkombozi wako , wahi mapema kabla havijazidi , maana ukichelewa unaweza kwenda kuponea makao makuu ya AZUMA India
Unaumwa UTI.. Hakuna haja ya kwenda hata kupima.. Nenda pharmacy kanunue AZUMA
Toka uzaliwe nina imani hujawahi kupima hicho kipimo cha U. T. I

AZUMA siyo dawa ya U. T. I mkuu, tuache kukariri mambo.
 
Habari za wakati za mchana huu ndugu zangu na hope mko katika mihangaiko yenu ya kutwa nzima

Nina jambo langu ndugu zangu week kama ya pili inaanza leo viungo vyangu vya kiume sijui ni UTI AU kitu Gani, dalili ni hizi napata kunaungua, muda mwingine kama Kuna viwembe ndani kama vinakata, pia muda muwasho ndani ya muwasho naskilizia, tu naona muda nakuwa sawa muda vinaamka

Nakunywa maji ili nione Hali itakuwaje pia kingine sijashiriki siku nyingi Nina mtu mmoja jinsi ya kike Mimi kiasi sio mtu wa kurukaruka sijui huko mara huko nimetulia nae tu nae hayupo kwa Sasa, pia kupima Sina fedha ya vipimo Wala ya dawa naomba msaada wenu wa kifedha ndugu zangu🙏🙏

0656351446 Ema
Samahan Lakin Kwan huyo mwenzako umemshirikisha?
Fanya kumtaarifu labda itarahisisha
 
pole sana lakini huo ni ugonjwa mdogo kuja kuomba msaada huku ungeanzia kwa ndugu zako, majirani au hata marafiki maan hao ndo wataweza hata kukuuguza kama tatizo ni kubwa,, ila usijali unaweza kuokota maana watu wema bado wapo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom