Msaada: Kwa dalili hizi kwenye uume nitakuwa naumwa nini?

Status
Not open for further replies.
Habari za wakati za mchana huu ndugu zangu na hope mko katika mihangaiko yenu ya kutwa nzima

Nina jambo langu ndugu zangu week kama ya pili inaanza leo viungo vyangu vya kiume sijui ni UTI AU kitu Gani, dalili ni hizi napata kunaungua, muda mwingine kama Kuna viwembe ndani kama vinakata, pia muda muwasho ndani ya muwasho naskilizia, tu naona muda nakuwa sawa muda vinaamka
Si rahisi kupata msaada hivi kwa mwanaume ila angekua ungeona atakavyosaidiwa!
wanaume tumeumbiwa mateso na kukataliwa ili tupambane kwa hasira.ila pia wanaume tuna kasumba yakusaidia wakike kisa matumaini yakupata potassium utadhani wanatusaidiaga basi kumbe wanatukumbukaga tu wakiwa na shida zingine!

Wanaume tunakiwa tusaidiane maana ndo uanaume kuinuana.
Shida huku mitandaoni kuaminiana ngumu inaweza kua tapeli nk.

Chemsha huu mchanganyiko hata kwa viungo vichache utakavyovipata anza dozi kwa kutwa mara 2 kwa siku 7 hata kama ungekua na gono la vipi halitoboi kwa hiyo asili

IMG_20260826_200618.jpg
 
Hana pesa hata ya kununua hiyo mizizi msaidie mwanaume mwenzio kwa kumtumia pesa! Visingizo vya potqssium havitampa unafuu😎
 
Toka uzaliwe nina imani hujawahi kupima hicho kipimo cha U. T. I

AZUMA siyo dawa ya U. T. I mkuu, tuache kukariri mambo.
Hii ndiyo kitu me najua.. ila wabongo sasa..
Azuma ndio dawa naimudu kutumia nikipata nimonia, au nichague sindano..
kuna amoxclav pia kwa nimonia ila me siipendi vidonge vingi afu vikubwa kinoma
 
Wameshaigeuza azuma kama dawa ya magonjwa ya zinaa, wakati ni multipurpose! Ukienda kuinunua dukani unaificha kama miso😂
 
Back
Top Bottom