Msaada:Kwa Dalili Hizi ,Nikafanye Kipimo Gani?

Mkuu nimuone dikta gani, wa masuala gani yani? Sorry kwa usumbufu mkuu asante sana
Unaenda kumwona General Doctor, umwelezee hali yako na kwavile unahaki ya kuomba vipimo. ..mwambie ukuandikie ukapime. ...wanachukua Damu kwenye Vein kwa ajili ya kuitest....(nitafute PM mkuu.)
 
Wakuu umri ni 25-30
Ni mda Sasa Nasumbuliwa Na Dalili Hizi
Hii hali nna miaka nayo minne ila sasa imekua siriasi kuna kipindi nilitumia vidonge vya neuroton , baada ya kuacha kutumia dawa hizo baadhi ya dalili ziliendelea

-maumivu ya misuli hasa mgongo, shingo na mabega hadi kiunoni pia Misuli na pingili za mgongo kukaza (hadi nifanye yoga nakuwa sawa kidogo)

-Uchovu wa mwili na akili

-uwezo mdogo wa kufikiri

-Kukosa hamu Ya sex ,Nikisex, uume kukosa nguvu na kutodumu ktk tendo kwani nakua sina hisia tena hadi nikae masaa matano

Note:nimewahi beba vyuma ila sikua baunsa, pia nimewahi jichua kwa miaka 10 mfululizo ila sasa ni mwaka mmoja na nusu toka niache

Sijui Pa kuanzia Wakuu nateseka sana, hasa haya maumivu ya misuli ya mwili! Msaada wa mawazo madokta samahani kwa kuwachosha
Nitafute private kwa nmba hii
0655 944 268
Ntakusaidia
 
Moja ulikuwa unajichua huku ukifanya mazoezi makali,hasa hayo ya ubebaji wa ma vyuma.

Ukauchosha mwili kwa kuharibu misuli katika maeneo uliyoyataja.

Ni sahihi kabisa kupata matatizo ya nguvu za kiume mana misuli umeichosha kwa muda mrefu hivyo kushindwa kupeform vizuri.

Na hayo uliyoyataja ni madhara sahihi ya hiyo kitu.

Niliwahi kusumbuliwa na hilo tatizo lakini tunaweza kupishana muda wa madhara/tatizo.

Baada ya kuhangaika kwa Ma Dr kadhaa na kupima Vipimo mbalimbali nilikuja kupata tiba kwa Dr mmoja ambaye aliniuliza maswali na kutaka kujuwa tatizo kwa kina.

Nilimueleza ukweli kama ulivyoeleza,ni vema umekuwa mkweli,lakini inaonyesha ulikuwa unaficha tatizo kwa kuona aibu.

Baada ya maongezi na kugundua tatizo alinipatia tiba lakini akinitaka kuwa mvumilivu maana tiba ya muda mrefu na tatizo litaisha baada ya muda kati ya miezi 4 hadi 6 au 8.

Moja kupunguza kufanya mazoezi makali,hivyo kufanya mazoezi mepesi na ya muda mfupi.

Kuachana na ubebaji wa vyuma kwa muda huo,so nikaanza kufanya push up na swimming,niliacha kabisa kukimbia umbali mrefu.

Kupata muda Mwingi wa kupumzika hasa kulala,kuwahi kulala mapema tu.

Kula matunda kwa Wingi, kunywa maji ya kutosha nakumbuka ilikuwa kati ya lita mbili hadi 4,kula Vyakula vya proteins kwa Wingi na kupunguza Vyakula vya wanga.

Kuacha matumizi ya alcohol or Sigara ingawa sikuwa mtumiaji sana wa hivyo Vitu na sikuwa mvutaji wa Sigara.

A lini shauri kula ndizi mbivu 2 kila siku asubuhi na jioni,na lita 1 ya maji kabla ya kunywa chai.

Kufanya massage ya viungo mara kwa mara,angalau kwa mwezi mara mbili.

Pia aliniandikia dawa flan hivi zinaitwa flamar au kama utapata Zile night panadol kama sijakosea za mwezi mzima na hizo za Neurons kwa muda wa miezi miwili,ni gharama kidogo hizi dawa.

Pia upate dawa flan hivi zinaitwa ampclox nazo kama niko sahihi kwa ajili ya matatizo ya kujichua kama ulikuwa unatumia sabuni.

Na kushauri kuacha kabisa hiyo michezo ya bafuni hasa ya kutumia sabuni au kemikali Yeyote,akashauri kukutana na wifi yako angalau mara chache kwa mwezi kama atakuwa mvumilivu au kuacha kwa muda wa mwezi mmoja au miwili.

Pia matumizi ya spices kwenye Vyakula kama pilipili,Vitunguu Swaumu, habatt soda,asali,mdalasini n.k mara kwa mara.

Kuhusu nini shemeji anatakiwa kufanya kipindi hiki ukiwa kwenye dozi njoo pm.

Mana anatakiwa kuwa muuelewa otherwise anaweza kuendeleza tatizo mana naye ni sehemu ya Tiba.

Wamasai Wana dawa flan hivi nayo ni nzuri kwa matatizo hayo,unakunywa at once kwa mwezi ni ya mti ila sio hawa wa mjini.

Siwezi kusema nimepona ila tatizo kwa asilimia 80 limeisha kabisa na wifi yako yako anaenjoy na mimi pia na enjoy ila mwanzo nilikuwa naona karaha I didn't enjoy

Pole kwa matatizo na karibu.
 
Kama ulikuwa unajichua dalili hizo ni kawaida na ndo maisha yako yatakuwa hivyo kama hautofanya yafuatayo. Kwanza kula lishe nzuri. Pia fanya mazoezi mengi kuliko kawaida
 
nitafute, hayo maumivu ya mgongo mpaka kwenye pingili na misuli kukaza vitaisha kabisa
 
Mkuu sio wifi yangu ni shemeji yangu
Nilipiga kavu bila mafuta wala sabuni yaani inaitwa puli bubu
Hizo dawa za wamasai ni viagra au ni tiba permanent
 
Kama ulikuwa unajichua dalili hizo ni kawaida na ndo maisha yako yatakuwa hivyo kama hautofanya yafuatayo. Kwanza kula lishe nzuri. Pia fanya mazoezi mengi kuliko kawaida
Hili la mazoezi mengi huoni kama litaongeza tatizo Zaidi, may b aache kujichua huku akiwa anafanya mazoezi.

Nadhani swimming na push up na mazoezi kidogo ya Viungo inatosha,Swimming is the best kwake kwa kipindi hiki.
 
Mkuu sio wifi yangu ni shemeji yangu
Nilipiga kavu bila mafuta wala sabuni yaani inaitwa puli bubu
Hizo dawa za wamasai ni viagra au ni tiba permanent
haaa haaa haaa najuwa ni shemeji yako,any way achana hizo za wamasai,fanya hayo niliyokuelekeza hapo juu,hamna kipimo kitakachogundua tatizo,mi nilipima Malaria,mara UTI mara typhoid lakini sikuwa nakutwa na hayo magonjwa ila naona hizo dalili na mwili kuchoka sana.

Ila nilifanya culture ya mkojo ndio ikagundulika madhara ya sabuni kwenye njia ya mkojo.

Hii ya wamasai ni nzuri ni kama masage tu,mana unakunywa na chai au soup then unatokwa na jasho kwa muda wa kama dakika 30 hadi 45 na unajiskia hovyo kwa kipindi hicho after huo muda mwili uanaacha kuchemka so ukienda kuoga unakuwa kama umezaliwa upya no uchovu kabisa.

Ni kipande cha mti au gome unakuwa unakwangua,kwa wiki mara moja au mbili,wanauza bei kidogo,mi nililetewa kutoka umasai kabisa,it was good,hawa wamasai wa mjini watakutapeli tu.
 
Mkuu nimuone dikta gani, wa masuala gani yani? Sorry kwa usumbufu mkuu asante sana
Mkuu kajaribu kuwaona wanaouza dawa za miti shamba. Kuna rafiki yangu aliumwa na misuli alipelekwa mpaka US. Wakataka kumfanyia upasuajj (surgery). Alikataa akarudi uswahilini akapewa miti shamba, baada ya mwezi tu jamaa anakimbia kama swala.
 
Wakuu umri ni 25-30
Ni mda Sasa Nasumbuliwa Na Dalili Hizi
Hii hali nna miaka nayo minne ila sasa imekua siriasi kuna kipindi nilitumia vidonge vya neuroton , baada ya kuacha kutumia dawa hizo baadhi ya dalili ziliendelea

-maumivu ya misuli hasa mgongo, shingo na mabega hadi kiunoni pia Misuli na pingili za mgongo kukaza (hadi nifanye yoga nakuwa sawa kidogo)

-Uchovu wa mwili na akili

-uwezo mdogo wa kufikiri

-Kukosa hamu Ya sex ,Nikisex, uume kukosa nguvu na kutodumu ktk tendo kwani nakua sina hisia tena hadi nikae masaa matano

Note:nimewahi beba vyuma ila sikua baunsa, pia nimewahi jichua kwa miaka 10 mfululizo ila sasa ni mwaka mmoja na nusu toka niache

Sijui Pa kuanzia Wakuu nateseka sana, hasa haya maumivu ya misuli ya mwili! Msaada wa mawazo madokta samahani kwa kuwachosha
1:unajishughulisha na shughuli gani (kazi unayofanya) kwa ajili ya kipato?
2:je, ni kazi ya kutumia nguvu au ya kukaa ofisini?
3:unatumia usafiri binafsi kutoka kwenye mlango wako nyumbani hadi mlango wa ofisi?
4:je una Ratiba ratiba ya mazoezi,kama ndiyo unafanya mazoezi gani kwa muda gani ?
5:Unatumia kilevi aina gani kwa kiwango gani?
6:una familia mke na watoto?
Mimi si mtaalamu ila kwenye maelezo yako ungetoa maelezo yanayojibu maswali hayo ungepata ushauri toka kwa yeyo na hata daktari kabla hajakusaidia atakuuliza maswali hayo pia....hayo ya punyeto si muhimu na wala haina uhusiano ktk tatizo ulilonalo!
toa maelezo ya kutosha upate ushauri muafaka!
 
Mkuu kajaribu kuwaona wanaouza dawa za miti shamba. Kuna rafiki yangu aliumwa na misuli alipelekwa mpaka US. Wakataka kumfanyia upasuajj (surgery). Alikataa akarudi uswahilini akapewa miti shamba, baada ya mwezi tu jamaa anakimbia kama swala.
Miti shamba gani chief inapatikana dar
 
1:unajishughulisha na shughuli gani (kazi unayofanya) kwa ajili ya kipato?
2:je, ni kazi ya kutumia nguvu au ya kukaa ofisini?
3:unatumia usafiri binafsi kutoka kwenye mlango wako nyumbani hadi mlango wa ofisi?
4:je una Ratiba ratiba ya mazoezi,kama ndiyo unafanya mazoezi gani kwa muda gani ?
5:Unatumia kilevi aina gani kwa kiwango gani?
6:una familia mke na watoto?
Mimi si mtaalamu ila kwenye maelezo yako ungetoa maelezo yanayojibu maswali hayo ungepata ushauri toka kwa yeyo na hata daktari kabla hajakusaidia atakuuliza maswali hayo pia....hayo ya punyeto si muhimu na wala haina uhusiano ktk tatizo ulilonalo!
toa maelezo ya kutosha upate ushauri muafaka!
1.mi ni mtu wa dukani nafanya mazoezi ya viungo miaka 8 sasa
-Sio kazi ya kutumia nguvu
-Naenda oficin kwa miguu sina usafiri
-Nafanya yoga ya back pain relief asubuh kwa dk 40
-sina mke wala watoto sijawahi kuishi na mke bt nna mwanamke tunakutana siku moja moja
Asante cjief unaweza niuliza kingine
 
Nakushauri kafanye full blood picture, HIV na biochemistry full. Hapo tutapata pa kuanzia. Unaweza ukawasilisha picha kwa pm nikakutafsiria na kukusaidia cha kufanya.
 
Asante mkuu hivyo vipimo viko hospital gani chief
 
Mkuu badilisha viatu unavyo tumia hakikisha unatembea mwili umenyooka maradhi yako sana ni kuto kukaa sawa uti wako wa mgongo na hii viatu inasababisha sana .kama unaweza kupa viatu aina ya sketches itakuponyesha na kuweka sawa uti wa mgongo. Ja jengine kunywa glass mbili au 3 za maji vuguvugu kabla hujakula kitu .na ule baada ya dakika kama 40 baada ya kunywa .itakusaidia kutoa impurities katika mwili .
In sha Allah utakuwa ok
 
Back
Top Bottom