Moja ulikuwa unajichua huku ukifanya mazoezi makali,hasa hayo ya ubebaji wa ma vyuma.
Ukauchosha mwili kwa kuharibu misuli katika maeneo uliyoyataja.
Ni sahihi kabisa kupata matatizo ya nguvu za kiume mana misuli umeichosha kwa muda mrefu hivyo kushindwa kupeform vizuri.
Na hayo uliyoyataja ni madhara sahihi ya hiyo kitu.
Niliwahi kusumbuliwa na hilo tatizo lakini tunaweza kupishana muda wa madhara/tatizo.
Baada ya kuhangaika kwa Ma Dr kadhaa na kupima Vipimo mbalimbali nilikuja kupata tiba kwa Dr mmoja ambaye aliniuliza maswali na kutaka kujuwa tatizo kwa kina.
Nilimueleza ukweli kama ulivyoeleza,ni vema umekuwa mkweli,lakini inaonyesha ulikuwa unaficha tatizo kwa kuona aibu.
Baada ya maongezi na kugundua tatizo alinipatia tiba lakini akinitaka kuwa mvumilivu maana tiba ya muda mrefu na tatizo litaisha baada ya muda kati ya miezi 4 hadi 6 au 8.
Moja kupunguza kufanya mazoezi makali,hivyo kufanya mazoezi mepesi na ya muda mfupi.
Kuachana na ubebaji wa vyuma kwa muda huo,so nikaanza kufanya push up na swimming,niliacha kabisa kukimbia umbali mrefu.
Kupata muda Mwingi wa kupumzika hasa kulala,kuwahi kulala mapema tu.
Kula matunda kwa Wingi, kunywa maji ya kutosha nakumbuka ilikuwa kati ya lita mbili hadi 4,kula Vyakula vya proteins kwa Wingi na kupunguza Vyakula vya wanga.
Kuacha matumizi ya alcohol or Sigara ingawa sikuwa mtumiaji sana wa hivyo Vitu na sikuwa mvutaji wa Sigara.
A lini shauri kula ndizi mbivu 2 kila siku asubuhi na jioni,na lita 1 ya maji kabla ya kunywa chai.
Kufanya massage ya viungo mara kwa mara,angalau kwa mwezi mara mbili.
Pia aliniandikia dawa flan hivi zinaitwa flamar au kama utapata Zile night panadol kama sijakosea za mwezi mzima na hizo za Neurons kwa muda wa miezi miwili,ni gharama kidogo hizi dawa.
Pia upate dawa flan hivi zinaitwa ampclox nazo kama niko sahihi kwa ajili ya matatizo ya kujichua kama ulikuwa unatumia sabuni.
Na kushauri kuacha kabisa hiyo michezo ya bafuni hasa ya kutumia sabuni au kemikali Yeyote,akashauri kukutana na wifi yako angalau mara chache kwa mwezi kama atakuwa mvumilivu au kuacha kwa muda wa mwezi mmoja au miwili.
Pia matumizi ya spices kwenye Vyakula kama pilipili,Vitunguu Swaumu, habatt soda,asali,mdalasini n.k mara kwa mara.
Kuhusu nini shemeji anatakiwa kufanya kipindi hiki ukiwa kwenye dozi njoo pm.
Mana anatakiwa kuwa muuelewa otherwise anaweza kuendeleza tatizo mana naye ni sehemu ya Tiba.
Wamasai Wana dawa flan hivi nayo ni nzuri kwa matatizo hayo,unakunywa at once kwa mwezi ni ya mti ila sio hawa wa mjini.
Siwezi kusema nimepona ila tatizo kwa asilimia 80 limeisha kabisa na wifi yako yako anaenjoy na mimi pia na enjoy ila mwanzo nilikuwa naona karaha I didn't enjoy
Pole kwa matatizo na karibu.