Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia pharmacy uhakika wa jira ni mkubwa sana aisee kama 95% ajira wazi wazi.msaada wa mawazo yenu ndugu zangu, mdogo wangu ana 4 ya 26 na ana C mbili za english na civic.
Geog ana f, physics, math, chemistry, biology na kiswahli ana D zote.
Nimefikiria kuomba wizara ya afya, elimu na maliasili na utalii ktengo cha misitu, pia nataka kumuombea chuo cha uongozi wa mahakama lushoto.
OMBI LANGU KWENU
Je kuna sehemu au fani nyingne ambazo ninaweza kumpeleka huyu kwa matokeo haya? Naomba sana msaada wenu.
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Japokuwa ana F ya Geography lakini Chuo cha madini Dodoma wanaweza kumpokea kwa kuwa angalau ana D za Physics, Chemisty na Maths. Asome cheti cha Geological Techinician na anaweza kuunganisha na Diploma kabisa. Chuo ni cha serikali.msaada wa mawazo yenu ndugu zangu, mdogo wangu ana 4 ya 26 na ana C mbili za english na civic.
Geog ana f, physics, math, chemistry, biology na kiswahli ana D zote.
Nimefikiria kuomba wizara ya afya, elimu na maliasili na utalii ktengo cha misitu, pia nataka kumuombea chuo cha uongozi wa mahakama lushoto.
OMBI LANGU KWENU
Je kuna sehemu au fani nyingne ambazo ninaweza kumpeleka huyu kwa matokeo haya? Naomba sana msaada wenu.
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Japokuwa ana F ya Geography lakini Chuo cha madini Dodoma wanaweza kumpokea kwa kuwa angalau ana D za Physics, Chemisty na Maths. Asome cheti cha Geological Techinician na anaweza kuunganisha na Diploma kabisa. Chuo ni cha serikali.
Akimaliza hapo moja kwa moja anapata ajira ya uhakika kabisa kwenye migodi yetu iliyojazana nchi nzima. Na mishahara ya migodini ni mizuri sana tu.
Poa mkuu. Thx