msaada kwa haya matokeo nimpeleke wapi huyu?

Pia pharmacy uhakika wa jira ni mkubwa sana aisee kama 95% ajira wazi wazi.
 
Japokuwa ana F ya Geography lakini Chuo cha madini Dodoma wanaweza kumpokea kwa kuwa angalau ana D za Physics, Chemisty na Maths. Asome cheti cha Geological Techinician na anaweza kuunganisha na Diploma kabisa. Chuo ni cha serikali.

Akimaliza hapo moja kwa moja anapata ajira ya uhakika kabisa kwenye migodi yetu iliyojazana nchi nzima. Na mishahara ya migodini ni mizuri sana tu.
 

Ahsante mkuu, vp una website ya hcho chuo? Naomba unisaidie tafadhal
 
kuwa na subira kwa matokeo ya sasa huyo form five anaingia
 
Mpeleke akafanye usafi wizaran kuna nafasi za kuchoma paper zenu kwani zitakua uchafu2 pale kwa mlivyozungusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…