Msaada kwa mama mjamzito

Msaada kwa mama mjamzito

Ni jambo la kawaida kuumwa mgongo kama mimba ina miezi 6 kuendelea.Jaribu kupumzika na epuka kazi nzito na kubeba vitu vizito.
 
Msaada Tatizo la mgongo kuuma na mimba ina miezi sita huwa inasababishwa nanini?
Mara nyingi mimba ikiwa na miez sita na kuendelea maungio yanaanza kutanuka na pia pingili za uti wa mgongo sehem ya tumbo zinqpata mabaliko kwasababu ya uzito na ukubwa wa tumbo unaovutia tumbo kwa mbele so hili ndo linachangia pia katika hayo maumivu..

Ila ni vizur ukamuona Dr. Wako ili awezekuangalia kama hakuna shida yoyote nyingine.

Asante
 
Sante mkuu
 
Pole kawaida sana hiyo!! Maumivu yakizidi muone Dr!
 
Kawaida ila usikae kitako au pozi moja kwa muda mrefu jitahid unabadilibadili mikao.
 
Back
Top Bottom