Martha wa Bethania
Member
- Jul 6, 2018
- 13
- 6
Msaada Tatizo la mgongo kuuma na mimba ina miezi sita huwa inasababishwa nanini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari!Msaada Tatizo la mgongo kuuma na mimba ina miezi sita huwa inasababishwa nanini?
Mwezi wa kumiHabari!
Naomba kukuuliza swali, Mara ya mwisho kuhudhuria kliniki ilikua lini?
Asante na Karibu
XanteeNi jambo la kawaida kuumwa mgongo kama mimba ina miezi 6 kuendelea.Jaribu kupumzika na epuka kazi nzito na kubeba vitu vizito.
Mara nyingi mimba ikiwa na miez sita na kuendelea maungio yanaanza kutanuka na pia pingili za uti wa mgongo sehem ya tumbo zinqpata mabaliko kwasababu ya uzito na ukubwa wa tumbo unaovutia tumbo kwa mbele so hili ndo linachangia pia katika hayo maumivu..Msaada Tatizo la mgongo kuuma na mimba ina miezi sita huwa inasababishwa nanini?
Sante mkuuMara nyingi mimba ikiwa na miez sita na kuendelea maungio yanaanza kutanuka na pia pingili za uti wa mgongo sehem ya tumbo zinqpata mabaliko kwasababu ya uzito na ukubwa wa tumbo unaovutia tumbo kwa mbele so hili ndo linachangia pia katika hayo maumivu..
Ila ni vizur ukamuona Dr. Wako ili awezekuangalia kama hakuna shida yoyote nyingine.
Asante