Msaada: Kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe nimeugua UTI

Msaada: Kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe nimeugua UTI

Punguza mangono ya kizembe..sio kila mwanamke ni wa kutia..wengine watie kwa macho tu.
 
Mrejesho
Nimetoka kutibiwa mloganzila.majibu Sina Cha UTI,Sina typhoid,Sina,renal function Iko vizur,hb1c Iko vizur....kiufupi dispensary za mitaani niwashenzi
 
Habar wakuu naomba msaada wenu kwa mara yakwanza tangu nizaliwe Leo usiku huu ghafla kichwa kimeniuma sanaaa katikati ya utosi.

Nimekimbilia dispensary nimepimwa

Sukari Iko 4.7,presha 125/76pr 65, damu14.6, nkakutwa na UTI 25 na typhoid.

Je, nauliza UTI huweza sababisha kichwa kuuma hivi? Na vipi dawa gani nzuri kwa UTI na typoid maana Sina dalili zozote za magonjwa haya zaid yalichwa kuuma katikati ya utosi sanaaa au niende hospital kubwa zaid asubuh

NB: Niko Dar mara moja kwa shuguli zangu
Habari mbaya ni hizi hapa 👇
Screenshot_20240816-162729.jpg
 
Back
Top Bottom