Msaada kwa mkaka

hivi kibaya ni kipi hapo? Kwamba mke wa mtu kacheat na kapata mimba...vipi kama angecheat na kutopata mimba? Hiyo ingekuwa sawa? Manake kuna mtu nimemsoma eti anashangaa kwa nn huyo mwanamke hakutumia kinga ya uzazi..as if ku-imply kama asingepata mimba ingekuwa ok
 

...astaghafirullah, we mwana wee!...LOH!
 
kwa kweli huyo shetani anapitia wengi sana, hii sababu naichukia kweli..bora mtu akiri kuwa alitamani kuduu na mtu fulani siyo shetani kapitia..aggrrrrr

Shetani ndo amemvutia na shetani anakuwa mzuri kabla huja do ukisha do unaanza kumtupia lawama shetani.
 
kwa kweli huyo shetani anapitia wengi sana, hii sababu naichukia kweli..bora mtu akiri kuwa alitamani kuduu na mtu fulani siyo shetani kapitia..aggrrrrr

Sijui huyo shetani hua inakuaje anawapitia wao tu maana kuna wengine zaidi hata ya mara moja na zote anasingiziwa shetani tu!
 
Shetani ndo amemvutia na shetani anakuwa mzuri kabla huja do ukisha do unaanza kumtupia lawama shetani.

Kwanini lakini mnamuonea sana huyo shetani??? Shetani shetani waongo wakubwa hao eti shetani kakupitia wapi???
 

Tamaa imemzidi si niafadhali awe mwangalifu ?? Anaenda tu kama alivyozaliwa analala bila nguo kha???
 
Hilo sakata ni KUBWA sana... Muhimu aache kudai mtoto... Vinginevyo, Hizo ndoa zote mbili ziko mashakani!!
 
Ndo maana nakuzimia Lizzy...hurembeshi wala kupaka sukari...koleo unaliita koleo.

Via Mobile njoo via mobile nikununulie soda!Hamna hamna haja ya kudanganyana hapa na kupakana mafuta ya nazi wakati kinachohitajika ni kuoga!
 
Lakini wakuu hivi wazee wetu kesi kama hizi walikuwa wanazisolve vipi?

manake nimekuwa nikiambiwa 'unamwona fulani, baba yake bi fulani na sio baba yake unayemjua'.....ina maana haya mambo yapo tokea zamani...

sasa hapa tujaribu kama kuna wanaozifahamu hizo namna za kutanzua migogoro hii kijadi zaidi? Mi kwa kesi ninazojua, mtoto aliendelea kutambulika kuwa ni wa nyumba ile alipozaliwa....
 
...Loh, watu bana. husingizia, kama si shetani kampitia basi ni majaribu ya Mungu.
Mtu anakuomba msamaha akisema, "Mungu kanipa majaribu nawe anakupa majaribu ya kusamehe!" Hell No!
Bora tu niende huko 'motoni!'
:focus:
Chetuntu, mwambie jamaa yako aandike na wosia kabisa kabla hajajipeleka kwa 'pilato!'
 
Tamaa imemzidi si niafadhali awe mwangalifu ?? Anaenda tu kama alivyozaliwa analala bila nguo kha???

Kama ni mtu wa kuzidiwa na tamaa kwa nini aingie kwenye ndoa? Au more appropriate kwa nini abaki kwenye ndoa? Si ajitoe tu ili aweze kujifanasi kwa raha zake bila kuvunja nyoyo za wengine...au ndo kusema siku hizi uzinifu rukhsa alimradi unatumia kinga?
 
Ndo maana nasema wote wawili wafungwe jiwe shingoni watoswe baharini mtoto tutampeleka kituo cha kulelea watoto.

Ila jamani tuende mbele na kurudi nyuma watu tumekua wakali kweli kweli, ila tujiulize ni hao tu ndio wazinzi? tukishapata majibu tujifunze kutokana na hili
 
Tamaa imemzidi si niafadhali awe mwangalifu ?? Anaenda tu kama alivyozaliwa analala bila nguo kha???

Hahahaha amezoea chuku chuku aliona kula peremende na maganda sio tamu

Sasa unafikiri angemegwaje bila kuvua nguo?
 

...eti walikuwa wanalipishwa faini,...mtu analipishwa mifugo au mazao kesi inakwisha.
Ujinga mtupu! Anyway,...wazee wa kale walikuwa na wake wengi bana. Hawakuona tabu.

Mwanamke alikuwa mzazi tu wa watoto, sio miaka hii unajitolea kuoa na kumpenda mke mmoja,
halafu nae anakuletea za kuleta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…